Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

Sijapenda ulivyomalizia unataka sisi tumalizie tuonekane wachonganishi, malizia like faza, like maza, like son.
 
Duh, kweli kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni, naomba kuheshim hilo. Ila bila haki hio, basi ninge.....
 
Baba ake alishindwa kujenga hii,
Mtoto miaka 5 ya ubunge ameshindwa,
Baba akiwa mbunge mwenye ushawishi alishindwa kufanya hili.

Sasa kitu gani cha ziada mpaka waone ni kama hatua kubwa ya kutaka promo?
 
Kwanini vifaa visipokelewe na DED? mambo ya hovyo sn
Mbunge akiwepo kwenye mapokezi kuna shida gani? Au hivyo vifaa havitafanya kazi? Wapinzan akili zenu hazina akili..kila kitu mnakosoa tu....very childish
 
Ingekuwa wakati wa mtawala wa chato hivyo vifaa vingekabidhiwa ikulu tena live coverage, viongozi wa dini, vyombo vya ulinzi na usalama na wasanii wote wangealikwa.
 
Sasa vitunzeni hivyo vifaa, sio baada ya siku kadhaa tunasikia kifaa kimeharibika!!
 
Ni Ushamba na roho mbaya tu Mkuu ndio inakupa shida
Ahahahahahahaha! Roho mbaya unayo wewe unayeamini hakuna mwingine mwenye uwezo wa kuongoza zaidi ya kakikundi. I tell you, "They'll RIP!" na nchi itaongozwa na wengine na ITAKWENDA!!!
 
Hiyo hospital mbona nanayake alioacha hoi, akiumwa hata vitu vidogo anakimbilia mjini. Shame on you
 
Huna akili bhabha si ety....maana hizi ulizonazo ni akili za panzi... Montelukast wewe
 
Ahahahahahahaha! Roho mbaya unayo wewe unayeamini hakuna mwingine mwenye uwezo wa kuongoza zaidi ya kakikundi. I tell you, "They'll RIP!" na nchi itaongozwa na wengine na ITAKWENDA!!!
Hii comment sio mkuu,

Lazima tuombeane mema wakati wote,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Samia amkumbuka Ridhiwani Kikwete, naona kama inarudi ile hali ya ukitaka kitu fulani muone Ridhiwani. Watu na bahati zao juu ya hii dunia.
 
Samia amkumbuka Ridhiwani Kikwete, naona kama inarudi ile hali ya ukitaka kitu fulani muone Ridhiwani. Watu na bahati zao juu ya hii dunia.

Ni mawazo yako,

Ila Habari inamuhusu Samia,


 
Nasikia kuna pengo limetokea mahala fulani linatakiwa kuzibwa....
 
Wala hajamkumbuka riz1 amewakumbuka wana charinze. Wanacharinze semeni Asante rais wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…