Hii inafundisha:Walitaka kuzungusha pesa kutoka mkono wa kulia nyuma ya mgongo kwenda mkono wa kushoto waseme mkono wa kushoto umenunua kumbe ni wao mkono wa kulia lengo ni kuficha aibu ya kutonunuliwa korosho na wangenunua kwa mkono wa kulia watu wangeuliza kwanza pesa mmetoa wapi, bajeti ipi na baada ya kununua kinachofuata ni nini? Uzuri wenye uelewa na mapenzi ya nchi wakashtuka wakaanika mambo. Nadhani CAG hapa angekagua angekutana na madudu, mtu mzima kaamua kuchutuma. Hataree
1.Serikali haiwezi kufanya biashara, wakifanya hivyo wataingia hasara kubwa
2. Hata uwe na pesa kiasi gani, unahitaji elimu na maarifa au upate watu sahihi kwa biashara hiyo ndio ufanikiwe.
3. Ndio maana benki, hazitoi hela au mikopo kwa mtu ambaye, hajadhihirisha uwezo katika kile anachotaka apewe mkopo
4. Fedha za walipa kodi zimepotea na ni hasara kubwa