Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
 
Mtoa thread sasa...
babc1427-404f-4e8f-babf-29cbcffded19.jpg
 
Yanga points 68
Simba points 63

MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
 
Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari[emoji1]
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
Iwe iwavyo....
Ila mmefungwaa...
Acheni kujifariji.
 
Hata maumivu hayajaisha tayari umeanza kelele! Tulia maumivu yapoe hayo.
 
Utopolo hawaamini wanacho kiona wanaona maruweruwe.
 
Yanga points 68
Simba points 63

MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Poleni vyura maumivu yataisha tu.
 
Back
Top Bottom