Dah!kumbe mdaka mishale alifikia huku[emoji4][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!kumbe mdaka mishale alifikia huku[emoji4][emoji4]
Kwakifupi ni kwamba mimba imewaingia vizuri sana mmeanza kutema mate bao mbili siyo mchezo,alafu siku nyingine usirudie kwenda uwanjani na matokeo kichwani mwako utakufa kwa pressure.Mimi Nina skills za kuona vitu vidogo! Halafu Huwa nasema Ukweli daima kabla hujanijibu you must think and verify!
Nina swali moja tu kwa TFF na marefa wote duniani, wapi Othman Kazi mnaomfikia Azam mwiteni aje ajibu hapa!
Huwa ni kawaida timu kuanzisha mpira wa Faulo katikati ya uwanja bila filimbi ya Refa fine, Sasa Jana wakati Refa akitoa maelekezo kwa wachezaji na akiwa anaangalia upande mwingine Simba walianzisha Kona iliyozaa goli la mchongo (la kichawi) je Refa aliruhusu vipi mpira uendelee wakati hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la? je Sheria ya Kona inaruhusu Kona ipigwe bila filimbi ya mwamuzi? Hii ni Kali hata ulaya sijawahi kuona mpira wa Kona ukipigwa bila filimbi ya mwamuzi! Tena ulaya wanaojua soka kwenye derby zisizo na mvua kubwa kama ugomvi utaona Refa akiwa anatoa maelekezo kibendera husimama mbele ya mpira Ili Kona isipigwe mpaka Refa awe tayari na aruhusu kwa kupiga filimbi!! Jana goli la Simba la kwanza lililoharibu mechi si la halali kwa Sheria za soka Simba shangilieni ujinga wa marefa wa bongo wasiochezesha ligi yoyote nje ya Tanzania!!
Tunajua Simba haiwezi kufunga Yanga kihalali wakiwa wamejipanga au kamili bila kuvizia! that is the fact!! Goli la mchongo lililovunja Sheria za soka liliwatoa Yanga mchezoni!
Ushindi wa mchongo watu wanaruka na kukanyagana maana Toka 2019 ni kipigo tu kwenye ligi , kweli uchawi wa mvua haujawahi kufeli na kauli ya kukafini maiti imetiki Maana benki ilivunjwa Ili kubeba kombe pekee lililobaki la kuifunga Yanga!!
Wydad tukajionee muendelezo wa ushindi wa Simba!
Ohoooo yani na,zaidiDah!kumbe mdaka mishale alifikia huku[emoji4][emoji4]
hongera kwaoInafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari[emoji1]
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kwann uumie? Hebu relaaaaaaxxxxxx!!!!!! Nacheka km mazuri vileeeeMimi Nina skills za kuona vitu vidogo! Halafu Huwa nasema Ukweli daima kabla hujanijibu you must think and verify!
Nina swali moja tu kwa TFF na marefa wote duniani, wapi Othman Kazi mnaomfikia Azam mwiteni aje ajibu hapa!
Huwa ni kawaida timu kuanzisha mpira wa Faulo katikati ya uwanja bila filimbi ya Refa fine, Sasa Jana wakati Refa akitoa maelekezo kwa wachezaji na akiwa anaangalia upande mwingine Simba walianzisha Kona iliyozaa goli la mchongo (la kichawi) je Refa aliruhusu vipi mpira uendelee wakati hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la? je Sheria ya Kona inaruhusu Kona ipigwe bila filimbi ya mwamuzi? Hii ni Kali hata ulaya sijawahi kuona mpira wa Kona ukipigwa bila filimbi ya mwamuzi! Tena ulaya wanaojua soka kwenye derby zisizo na mvua kubwa kama ugomvi utaona Refa akiwa anatoa maelekezo kibendera husimama mbele ya mpira Ili Kona isipigwe mpaka Refa awe tayari na aruhusu kwa kupiga filimbi!! Jana goli la Simba la kwanza lililoharibu mechi si la halali kwa Sheria za soka Simba shangilieni ujinga wa marefa wa bongo wasiochezesha ligi yoyote nje ya Tanzania!!
Tunajua Simba haiwezi kufunga Yanga kihalali wakiwa wamejipanga au kamili bila kuvizia! that is the fact!! Goli la mchongo lililovunja Sheria za soka liliwatoa Yanga mchezoni!
Ushindi wa mchongo watu wanaruka na kukanyagana maana Toka 2019 ni kipigo tu kwenye ligi , kweli uchawi wa mvua haujawahi kufeli na kauli ya kukafini maiti imetiki Maana benki ilivunjwa Ili kubeba kombe pekee lililobaki la kuifunga Yanga!!
Wydad tukajionee muendelezo wa ushindi wa Simba!
So what? Shut the f***ck upInafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
Kibu anazifungaga timu mbovu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga points 68
Simba points 63
MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Hivi ule mshuti wa kibu huyo mdaka mishale shuzi halijatoka kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga points 68
Simba points 63
MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Mnakubalije kupakatwa na wazee? Vijana wa siku hizi mmekua wa ovyo sanaNyie ndo mmeshinda lakini hmna furaha maana huu msimu hamjui mnachotaka [emoji2][emoji2]
Tangu Kombe liitwe NBC Premier League hamjawahi lilichukua na hamtalichukua Kwa miaka kumiMnakubalije kupakatwa na wazee? Vijana wa siku hizi mmekua wa ovyo sana
Hivi ule mshuti wa kibu huyo mdaka mishale shuzi halijatoka kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Nina skills za kuona vitu vidogo! Halafu Huwa nasema Ukweli daima kabla hujanijibu you must think and verify!
Nina swali moja tu kwa TFF na marefa wote duniani, wapi Othman Kazi mnaomfikia Azam mwiteni aje ajibu hapa!
Huwa ni kawaida timu kuanzisha mpira wa Faulo katikati ya uwanja bila filimbi ya Refa fine, Sasa Jana wakati Refa akitoa maelekezo kwa wachezaji na akiwa anaangalia upande mwingine Simba walianzisha Kona iliyozaa goli la mchongo (la kichawi) je Refa aliruhusu vipi mpira uendelee wakati hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la? je Sheria ya Kona inaruhusu Kona ipigwe bila filimbi ya mwamuzi? Hii ni Kali hata ulaya sijawahi kuona mpira wa Kona ukipigwa bila filimbi ya mwamuzi! Tena ulaya wanaojua soka kwenye derby zisizo na mvua kubwa kama ugomvi utaona Refa akiwa anatoa maelekezo kibendera husimama mbele ya mpira Ili Kona isipigwe mpaka Refa awe tayari na aruhusu kwa kupiga filimbi!! Jana goli la Simba la kwanza lililoharibu mechi si la halali kwa Sheria za soka Simba shangilieni ujinga wa marefa wa bongo wasiochezesha ligi yoyote nje ya Tanzania!!
Tunajua Simba haiwezi kufunga Yanga kihalali wakiwa wamejipanga au kamili bila kuvizia! that is the fact!! Goli la mchongo lililovunja Sheria za soka liliwatoa Yanga mchezoni!
Ushindi wa mchongo watu wanaruka na kukanyagana maana Toka 2019 ni kipigo tu kwenye ligi , kweli uchawi wa mvua haujawahi kufeli na kauli ya kukafini maiti imetiki Maana benki ilivunjwa Ili kubeba kombe pekee lililobaki la kuifunga Yanga!!
Wydad tukajionee muendelezo wa ushindi wa Simba!
Hasira za kupakatwa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesema ajibu refa wewe bodaboda tulia!
Ila dawa imekuingia ushindi Hauna ladha wa kuvizia!
Haya weka video! Stupid!
huwezi chukua kombe kila mwaka ila Simba hii haifungwi na timu mbovu kama yanga 😁😁😁Yanga points 68
Simba points 63
MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Hapo lazima shuzi limepita haki ya nani[emoji23][emoji23][emoji23]
Simba hii haifungwi na timu mbovu kama yanga 😂😂😂😂Mimi Nina skills za kuona vitu vidogo! Halafu Huwa nasema Ukweli daima kabla hujanijibu you must think and verify!
Nina swali moja tu kwa TFF na marefa wote duniani, wapi Othman Kazi mnaomfikia Azam mwiteni aje ajibu hapa!
Huwa ni kawaida timu kuanzisha mpira wa Faulo katikati ya uwanja bila filimbi ya Refa fine, Sasa Jana wakati Refa akitoa maelekezo kwa wachezaji na akiwa anaangalia upande mwingine Simba walianzisha Kona iliyozaa goli la mchongo (la kichawi) je Refa aliruhusu vipi mpira uendelee wakati hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la? je Sheria ya Kona inaruhusu Kona ipigwe bila filimbi ya mwamuzi? Hii ni Kali hata ulaya sijawahi kuona mpira wa Kona ukipigwa bila filimbi ya mwamuzi! Tena ulaya wanaojua soka kwenye derby zisizo na mvua kubwa kama ugomvi utaona Refa akiwa anatoa maelekezo kibendera husimama mbele ya mpira Ili Kona isipigwe mpaka Refa awe tayari na aruhusu kwa kupiga filimbi!! Jana goli la Simba la kwanza lililoharibu mechi si la halali kwa Sheria za soka Simba shangilieni ujinga wa marefa wa bongo wasiochezesha ligi yoyote nje ya Tanzania!!
Tunajua Simba haiwezi kufunga Yanga kihalali wakiwa wamejipanga au kamili bila kuvizia! that is the fact!! Goli la mchongo lililovunja Sheria za soka liliwatoa Yanga mchezoni!
Ushindi wa mchongo watu wanaruka na kukanyagana maana Toka 2019 ni kipigo tu kwenye ligi , kweli uchawi wa mvua haujawahi kufeli na kauli ya kukafini maiti imetiki Maana benki ilivunjwa Ili kubeba kombe pekee lililobaki la kuifunga Yanga!!
Wydad tukajionee muendelezo wa ushindi wa Simba!
Hii ndio tofauti ya timu ya klabu bingwa na ma- looser kila kitu kipo waziTangu Kombe liitwe NBC Premier League hamjawahi lilichukua na hamtalichukua Kwa miaka kumi
Mtakua mmashangilia kumfunga bingwa kama ihefu tu
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi hapo shuzi halijatoka kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Tangu Kombe liitwe NBC Premier League hamjawahi lilichukua na hamtalichukua Kwa miaka kumi