Mimi Nina skills za kuona vitu vidogo! Halafu Huwa nasema Ukweli daima kabla hujanijibu you must think and verify!
Nina swali moja tu kwa TFF na marefa wote duniani, wapi Othman Kazi mnaomfikia Azam mwiteni aje ajibu hapa!
Huwa ni kawaida timu kuanzisha mpira wa Faulo katikati ya uwanja bila filimbi ya Refa fine, Sasa Jana wakati Refa akitoa maelekezo kwa wachezaji na akiwa anaangalia upande mwingine Simba walianzisha Kona iliyozaa goli la mchongo (la kichawi) je Refa aliruhusu vipi mpira uendelee wakati hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la? je Sheria ya Kona inaruhusu Kona ipigwe bila filimbi ya mwamuzi? Hii ni Kali hata ulaya sijawahi kuona mpira wa Kona ukipigwa bila filimbi ya mwamuzi! Tena ulaya wanaojua soka kwenye derby zisizo na mvua kubwa kama ugomvi utaona Refa akiwa anatoa maelekezo kibendera husimama mbele ya mpira Ili Kona isipigwe mpaka Refa awe tayari na aruhusu kwa kupiga filimbi!! Jana goli la Simba la kwanza lililoharibu mechi si la halali kwa Sheria za soka Simba shangilieni ujinga wa marefa wa bongo wasiochezesha ligi yoyote nje ya Tanzania!!
Tunajua Simba haiwezi kufunga Yanga kihalali wakiwa wamejipanga au kamili bila kuvizia! that is the fact!! Goli la mchongo lililovunja Sheria za soka liliwatoa Yanga mchezoni!
Ushindi wa mchongo watu wanaruka na kukanyagana maana Toka 2019 ni kipigo tu kwenye ligi , kweli uchawi wa mvua haujawahi kufeli na kauli ya kukafini maiti imetiki Maana benki ilivunjwa Ili kubeba kombe pekee lililobaki la kuifunga Yanga!!
Wydad tukajionee muendelezo wa ushindi wa Simba!