Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
watakabidhiwa lini kombe lake??HAHAHA MAKOLO BANA!KWELI RAGE HAKUKOSEA
 
Reporter : umefungwa mara tatu na robertinyo unazungumziaje hilo swala

Nabi: I don't know robetinyo we are leading the league by 5 point ila nataka referee awe professional na amuogope mungu.

Kumbe jamaa kiswahili anajua sema kuna mda anajizima data na mkalimani wake.
 
Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
jana ndo nimeamini yanga kubwa sana kwa simba...mpaka leo hii wanatusumbua mtaani kisa kumfunga yanga
 
Back
Top Bottom