BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Tukiongea bila ushaabiki, leo Yanga hakuna fraha kabisa, ni msiba mkubwa. Tena 2-0 hatar sn hii.Yanga points 68
Simba points 63
MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Nyie ndo mmeshinda lakini hmna furaha maana huu msimu hamjui mnachotaka [emoji2][emoji2]Tukiongea bila ushaabiki, leo Yanga hakuna fraha kabisa, ni msiba mkubwa. Tena 2-0 hatar sn hii.
"Hamjui mnachokitaka"Nyie ndo mmeshinda lakini hmna furaha maana huu msimu hamjui mnachotaka [emoji2][emoji2]
Kwani ungesemaje mkuu. Lazima ujifariji.Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari[emoji1]
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
Kuna kuvurugwa halafu Kuna kuvurugika.Mkuu vipi tena, yaani kupata ushindi ni jambo la kusikitisha? Naona umevurugwa na Kibu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lia taratibu, sio lazima upige kelele.Yanga points 68
Simba points 63
MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Yes, msimu huu sisi ndo kombe letu hilo.Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayariπ
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
Rejea come back ya Liver na Barcelona kweny yuefa alichofanya Alexander afu uje ufute ujinga wako ulioandika hapaMimi Nina skills za kuona vitu vidogo! Halafu Huwa nasema Ukweli daima kabla hujanijibu you must think and verify!
Nina swali moja tu kwa TFF na marefa wote duniani, wapi Othman Kazi mnaomfikia Azam mwiteni aje ajibu hapa!
Huwa ni kawaida timu kuanzisha mpira wa Faulo katikati ya uwanja bila filimbi ya Refa fine, Sasa Jana wakati Refa akitoa maelekezo kwa wachezaji na akiwa anaangalia upande mwingine Simba walianzisha Kona iliyozaa goli la mchongo (la kichawi) je Refa aliruhusu vipi mpira uendelee wakati hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la? je Sheria ya Kona inaruhusu Kona ipigwe bila filimbi ya mwamuzi? Hii ni Kali hata ulaya sijawahi kuona mpira wa Kona ukipigwa bila filimbi ya mwamuzi! Tena ulaya wanaojua soka kwenye derby zisizo na mvua kubwa kama ugomvi utaona Refa akiwa anatoa maelekezo kibendera husimama mbele ya mpira Ili Kona isipigwe mpaka Refa awe tayari na aruhusu kwa kupiga filimbi!! Jana goli la Simba la kwanza lililoharibu mechi si la halali kwa Sheria za soka Simba shangilieni ujinga wa marefa wa bongo wasiochezesha ligi yoyote nje ya Tanzania!!
Tunajua Simba haiwezi kufunga Yanga kihalali wakiwa wamejipanga au kamili bila kuvizia! that is the fact!! Goli la mchongo lililovunja Sheria za soka liliwatoa Yanga mchezoni!
Ushindi wa mchongo watu wanaruka na kukanyagana maana Toka 2019 ni kipigo tu kwenye ligi , kweli uchawi wa mvua haujawahi kufeli na kauli ya kukafini maiti imetiki Maana benki ilivunjwa Ili kubeba kombe pekee lililobaki la kuifunga Yanga!!
Wydad tukajionee muendelezo wa ushindi wa Simba!
Nimesema ajibu refa wewe bodaboda tulia!Rejea come back ya Liver na Barcelona kweny yuefa alichofanya Alexander afu uje ufute ujinga wako ulioandika hapa
Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari[emoji1]
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
Oya simba bingwa akikosa ubingwa mie kenge wakuuInafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari[emoji1]
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
Wasome hapaMlizidisha dharau bila kujua Simba ni clab Bingwa.
Ya 9 Africa, mlitaka kutuzoea sana, wapumbavu nyie.
Mnafungwa na Kibu Denisi kweli
Umejibu nilivyotaka kumjibu, kifupi huyo ni shabiki maviazi sio maandaz tena.Rejea come back ya Liver na Barcelona kweny yuefa alichofanya Alexander afu uje ufute ujinga wako ulioandika hapa
Wajinga sio wa kuwapa mifano kama hii kwa uandishi wake ni kama amekopi na kupest hatakuelewa daima.Rejea come back ya Liver na Barcelona kweny yuefa alichofanya Alexander afu uje ufute ujinga wako ulioandika hapa