Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga πŸ˜„

Kwakifupi ni kwamba mimba imewaingia vizuri sana mmeanza kutema mate bao mbili siyo mchezo,alafu siku nyingine usirudie kwenda uwanjani na matokeo kichwani mwako utakufa kwa pressure.
 
hongera kwao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kwann uumie? Hebu relaaaaaaxxxxxx!!!!!! Nacheka km mazuri vileeee
 
Leo naona Wachambuzi Uchwala wanao chambua habari za michezo ili kumfurahisha ili wakamkope Mwenyekiti wa Yanga wametulia.

Na Manara Wametulia
 
So what? Shut the f***ck up
 
Yanga points 68
Simba points 63

MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Kibu anazifungaga timu mbovu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga points 68
Simba points 63

MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
Hivi ule mshuti wa kibu huyo mdaka mishale shuzi halijatoka kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnakubalije kupakatwa na wazee? Vijana wa siku hizi mmekua wa ovyo sana
Tangu Kombe liitwe NBC Premier League hamjawahi lilichukua na hamtalichukua Kwa miaka kumi
Mtakua mmashangilia kumfunga bingwa kama ihefu tu
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hivi ule mshuti wa kibu huyo mdaka mishale shuzi halijatoka kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimesema ajibu refa wewe bodaboda tulia!
Ila dawa imekuingia ushindi Hauna ladha wa kuvizia!
Haya weka video! Stupid!
Hasira za kupakatwa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga points 68
Simba points 63

MAKOLO msijisahau kua msimu huu hatapata kombe lolote za hili la Leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji169]
huwezi chukua kombe kila mwaka ila Simba hii haifungwi na timu mbovu kama yanga 😁😁😁
 
Simba hii haifungwi na timu mbovu kama yanga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tangu Kombe liitwe NBC Premier League hamjawahi lilichukua na hamtalichukua Kwa miaka kumi
Mtakua mmashangilia kumfunga bingwa kama ihefu tu
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ndio tofauti ya timu ya klabu bingwa na ma- looser kila kitu kipo wazi
 
Tangu Kombe liitwe NBC Premier League hamjawahi lilichukua na hamtalichukua Kwa miaka kumi
Mtakua mmashangilia kumfunga bingwa kama ihefu tu
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi hapo shuzi halijatoka kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…