Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Mgao wa umeme nautia akilini 1991,mkapa akaleta net group solutions,waka-manage vibaya mabwawa,kufika 2006 Hali mbaya,udom ilianza na jengo la chimwaga,2006,baadae ndiyo yakajengwa majengo mengine taratibu,hakijakamilika mpaka leo
sawa angalau waliomwafwatia waliweza kuendeleza miradi alioanzisha raisi kikwete na vitu vinaonekana na ndivyo inavyopaswa kuwa na kila anayekuja aendeleze alioanzisha raisi kikwete, sasa hivi tunaona bwawa la Nyerere aliloasisi kikwete linajengwa, sgr aliyoasisi kikwete inajengwa, daraja la baharini la salenda aliloasisi raisi kikwete hata limekamilika, flyovers dar alizoanzisha raisi kikwete hata zilikamilika, shirika la air tanzania aliloanzisha raisi kikwete leo lina ndege zaidi ya 10, hivyo ni mema tu na waliomfwatia walimuenzi haswa na anapaswa kuwa proud sana na kazi yake …