Hatimaye Siri za ATCL zaanza kuvuja, ni kuhusu ndege ya Bombardier

Hatimaye Siri za ATCL zaanza kuvuja, ni kuhusu ndege ya Bombardier

Aisee.

Hata wasimange vipi, Jiwe limetulia tuli.

...kuna mafisadi bado yana makasiriko. Huu uwasilishaji wa habari unamsaidia nani?
 
mbona kama habari inasema ni za wakati wa raisi kikwete? Na hakuna uhusiano na ndege zilizonunuliwa post uraisi wa raisi kikwete? au kuna kitu sijakielewa kwenye hiiyo habari?
Suala la kufufua ATC lilianzia kwa kikwete,ni kama bwawa la rufiji,fly overs dar,njia nne Hadi kibaha
 
Suala la kufufua ATC lilianzia kwa kikwete,ni kama bwawa la rufiji,fly overs dar,njia nne Hadi kibaha

nakubaliana na wewe 100%, labda umesahau na mgao wa umeme pia kwenye orodha yako, raisi kikwete alijenga pia udom na mengineyo mengi kama siyo yote …
 
Maelezo yako vizuri, sijui umeshindwa nini kuelewa hapo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
weww x

halinaga akili ni yale mazee yanayosubiriaga kuhongwa yaandike lina mtindio wa ubongo ukiwa mwalimu unafundisha majinga haya unayaua tu

Jiue wewe kwanza. Tatizo lako umeweka hisia mbele kuliko uhalisia. Unatamani kuua mtu kisa tu anapingana na wewe hapana kabisa.
 
Nashangaa Leo watu wanatokwa povu kutetea kauli ya serikali ya CCM. Ila nikuhakikishie hivyo kauli ni ya uongo. Yani ndege kuharibika ndio wake na utetezi wa kwamba ilikodishwa kwa ubia.
 
nakubaliana na wewe 100%, labda umesahau na mgao wa umeme pia kwenye orodha yako, raisi kikwete alijenga pia udom na mengineyo mengi kama siyo yote …
Mgao wa umeme nautia akilini 1991,mkapa akaleta net group solutions,waka-manage vibaya mabwawa,kufika 2006 Hali mbaya,udom ilianza na jengo la chimwaga,2006,baadae ndiyo yakajengwa majengo mengine taratibu,hakijakamilika mpaka leo
 
Ndege zote za bombardier alizonunua Hayati Magufuli ni dash 8 -Q400. Ambazo ni model mpya ya iyo Q300 ambayo imekwama kule Malta.

Tuwe tunaelewa haya mambo ndugu zanguni kabla ya kuleta mada humu.
Amesoma ameelewa hapa anafanya makusudi kujionesha Kama hajaelewa.
Anataka kuwashughulisha ATCL na habari za mitandaoni wakosee kitu apate kuongea zaidi.
Hizi ndizo siasa mfu za watu wanaotaka tuwape ridhaa ya kutuongoza.
Huyo ni msomi kabisa jiulize elimu yetu inatupeleka wapi Kama Taifa.

Anajaribu kutafuta kitu cha kumlaumu Magufuli ambaye ni marehemu Sasa, hivyo haitamsaidia mleta lawama wala chama chake kuingia madarakani.

Msomi alitakiwa aoneshe udhaifu wa utetezi upo wapi kwenye hiyo taarifa ya ATCL, siyo kusema tu dhaifu kulingana na hisia zake binafsi.

Huyu Erythrocyte ni miongoni mwa vijana hopeless kabisa.
Hana tofauti na akina Mwijaku. Wote chawa sema wanatofautiana vyama na mabosi wao wa kuwafanyia kazi za kichawa.
 
Hakuna siri hapo!

Awamu ya nne ATCL ilikuwa na ndege za kukodi na ilikuwa wazi.

Ile kesi ya David Mataka pale Kisutu ilihusu upigaji kwenye huo ukodishaji uliopelekea serikali kupata hasara ya 71B.
Kitu kama yeye alikuwa hakijui anadhani ilikuwa siri kumbe yeye ndiyo hakuwa na taarifa au uelewa wa hicho kitu.
Ukiingia mitandaoni zipo taarifa kibao za kukodi hizo ndege na mbia aliyehusika.
 
Kitu kama yeye alikuwa hakijui anadhani ilikuwa siri kumbe yeye ndiyo hakuwa na taarifa au uelewa wa hicho kitu.
Ukiingia mitandaoni zipo taarifa kibao za kukodi hizo ndege na mbia aliyehusika.
Hizi nyuzi hatuzileti kibwege kama unavyodhani
 
Amesoma ameelewa hapa anafanya makusudi kujionesha Kama hajaelewa.
Anataka kuwashughulisha ATCL na habari za mitandaoni wakosee kitu apate kuongea zaidi.
Hizi ndizo siasa mfu za watu wanaotaka tuwape ridhaa ya kutuongoza.
Huyo ni msomi kabisa jiulize elimu yetu inatupeleka wapi Kama Taifa.

Anajaribu kutafuta kitu cha kumlaumu Magufuli ambaye ni marehemu Sasa, hivyo haitamsaidia mleta lawama wala chama chake kuingia madarakani.

Msomi alitakiwa aoneshe udhaifu wa utetezi upo wapi kwenye hiyo taarifa ya ATCL, siyo kusema tu dhaifu kulingana na hisia zake binafsi.

Huyu Erythrocyte ni miongoni mwa vijana hopeless kabisa.
Hana tofauti na akina Mwijaku. Wote chawa sema wanatofautiana vyama na mabosi wao wa kuwafanyia kazi za kichawa.
😆😆😆😆 Sasa Mkuu hapo unanilinganishaje na Mwijaku mwenye ghorofa jipya wakati mi nyumba yangu ya Tandika haina hata uzio ?

Hebu soma taarifa ya ChoiceVariable halafu urudi kwenye hii yangu .
 
Back
Top Bottom