Amesoma ameelewa hapa anafanya makusudi kujionesha Kama hajaelewa.
Anataka kuwashughulisha ATCL na habari za mitandaoni wakosee kitu apate kuongea zaidi.
Hizi ndizo siasa mfu za watu wanaotaka tuwape ridhaa ya kutuongoza.
Huyo ni msomi kabisa jiulize elimu yetu inatupeleka wapi Kama Taifa.
Anajaribu kutafuta kitu cha kumlaumu Magufuli ambaye ni marehemu Sasa, hivyo haitamsaidia mleta lawama wala chama chake kuingia madarakani.
Msomi alitakiwa aoneshe udhaifu wa utetezi upo wapi kwenye hiyo taarifa ya ATCL, siyo kusema tu dhaifu kulingana na hisia zake binafsi.
Huyu
Erythrocyte ni miongoni mwa vijana hopeless kabisa.
Hana tofauti na akina Mwijaku. Wote chawa sema wanatofautiana vyama na mabosi wao wa kuwafanyia kazi za kichawa.