Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Hivyo ndivyo habari ilivyo , lakini Je ulijua kwamba kumbe ilikuwa ndege ya watu ?
Wakati wa uraisi wa Rais Kikwete walikodi ndege nafikiri kama sikosei ilijulikana …
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo ndivyo habari ilivyo , lakini Je ulijua kwamba kumbe ilikuwa ndege ya watu ?
Hakuna siri hapo!Hiyo siri ya Wabia ilikuwepo ?
Kwenye huu utawala wa Samia unaodhibitiwa na wahuni tutatapeliwa hadi mali zetu kama ndege zilizonunuliwa kwa cash money chini ya Magufuli. Sasa unaona tunapenyezewa eti ndege mbili zilinunuliwa kwa ubia. Yaani hapa ni wale wezi wakupiga hela ndefu za umma wanaanza kujenga mchoro. Watanzania tusije kubali maana saa hizi wameshatengeneza pengine documents za kugushi.
Anahusika kwa kuwa na misukule. Mbona sentensi iko wazi kabisa, usichoelewa nini? Au tatizo ni lile lile?Mbowe anahusikaje japo? Wewe lazima utakuwa juha😂😂😂😂
Hili hapa jingine. Hivi shule mlienda kusomea ujinga. Umesoma na kuelewa habari yenyewe au umetoka kushindilia kimpumu unakurupuka tu na kuandika kilichopo kichwani.Kwennye huu utawala wa samia unaodhibitiwa na wahuni tutatapeliwa hadi mali zetu kama ndege zilixonunuliwa kwa cash money chini ya magufuli. Sass unaona tunapenyezewa eti ndege mbili zilinunuliwa kwa ubia. Yaani hapk ni wale wezi wakupiga hela ndefu wanasnza kujenga mchoro. Watanzania tusije kubali maana saa hizi wameshatengeneza pengine documents za kugushi.
Jamaa kaokoteza habar na kuirukia bila kusoma kwa kina.Umesoma lakini hiyo habari?
Awamu ya JK haikuwahi kupokea ndege airport.
Sasso let me reserve my comment.. Kuna mengi mazuri sana Magu kafanya SIKATAI na kuna mengi mabaya sana kafanya MSIKATAE..Mshana Jr na Erythrocyte mkubali ukweli. Wote mnamkumbuka JPM, hakuna mwanadamu amekamilika. Ila mwamba angekuwepo tungekua mbali
Unachangia uzi huu huu au mwingine?Ajabu hili jinga ndio linajinadi kwamba ni think-tank wa Chadema.
Aliponaswa na habari fake na anakuja na utetezi wa kitoto.No research no right to announce.
Kwahiyo kumbe tulipigwa fix kwamba ndege zote ni zetu , kumbuka kila ndege iliyokuja tulifanya maandamano pale Airport .
Kuna kajaaamaaa kauza minyoo ka chadema kanarukiaga Habari kanaitwa ka Erythrocyte ni kakilaza balaaaQ300 zilikuwepo/ilikuwepo kabla ya JPM, JPM alianza kununua Q400.
Naikumbuka Q300 ndio ndege pekee iliyokuwa inamilikiwa na ATCL awamu ya nne ya JK.
tumpongeze sana JPM kwakulipa uwezo shirika letu la ndege ATCL kwa kuwanunulia ndege ambazo zote ni mali yetu hatudaiwi na mtu yeyote, kilichobaki ni wapumba u walewale waliofilisi shirika miaka ya nyuma kwa kupenda vya bure na akili finyu kulitafuna tena.
ATCL huko nyuma ikiitwa ATC kabla ya JPM ilipitia shida nyingi sana kuanzia ile Alliance air iliyokuwa joint venture ATC na SA, wajinga wakapiga maisa yakaendelea.
RIP JPM
Sawa kabisa. Sasa ngoja tusubiri utetezi kutoka kwa Erythrocyte wa kwanini Chadema hawana Ofisi ya Makao Makuu tangu kuanzishwa kwake mwaka 1992!Utetezi uko vizuri
Ndege ya 2008 hiyo wewe mpare wawapi hujui kusoma?
Mtani wangu alikurupuka akajua ukweli akajisahihisha.Wapare mabahili lakini wana akili za kupambanua ukweli.Ndege ya 2008 hiyo wewe mpare wawapi hujui kusoma?
Wacha weee!!!Sawa kabisa. Sasa ngoja tusubiri utetezi kutoka kwa Erythrocyte wa kwanini Chadema hawana Ofisi ya Makao Makuu tangu kuanzishwa kwake mwaka 1992!
Jiongeze sanaMtani wangu alikurupuka akajua ukweli akajisahihisha.Wapare mabahili lakini wana akili za kupambanua ukweli.
Uko uzi wa mwanzo hapo juu, sasa nao uandike kama hivi.Ndege ya 2008 hiyo wewe mpare wawapi hujui kusoma?