Hatimaye tamthilia ya Isidingo yafika mwisho

Hii si ndo tamthilia washiriki wanakufa kweli?
Ukisikia mtu anaumwa au kafa ujue kafa kweli?
Tamthilia miaka 40???
Sijakuelewa mkuu, unauliza ama? Maana sentensi zako mwisho zinaviulizo
 
Ilianza baada ya kukatishwa Egoli,niliipenda sana egoli japo nilikua sielewi lugha ya mzungu. Kisha ikaja isidingo,nilivutiwa na sare za shule za letti kama za akina sarafina vile
Egoli! Place of gold
 
Nilianza kuiangalia Tangu mwaka 1999
 
Bora hata nikaangalie mabata yanavyopiga mbizi kuliko kuangalia isidingo
 
Isidingo The Need.

La Mujer De Mi Vida.

Acapulco Bay.

Haya madude yalikua yananiudhi kinoma. Bora ilo Acapulco lilikua na show show kiasi chake.
The Passions, The Bold and The Beautiful,.....
 
Ilianza baada ya kukatishwa Egoli,niliipenda sana egoli japo nilikua sielewi lugha ya mzungu. Kisha ikaja isidingo,nilivutiwa na sare za shule za letti kama za akina sarafina vile
Yani upo Kama mimi, egoli ilikua nzuri Sana, isidingo pia sitasahau yale mapenzi ya derick nyati na nandipah, matabane fmly
 
We ndo sio wa zamani mm nimeanza kuangalia toka 1999
Walitukatishia Egoli wakaileta hiyo, nikaachana nayo hapohapo, sikuwahi kuifuatilia.
 
Mnamkumbuka derick nyathi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…