Hatimaye tamthilia ya Isidingo yafika mwisho

Hii si ndo tamthilia washiriki wanakufa kweli?
Ukisikia mtu anaumwa au kafa ujue kafa kweli?
Tamthilia miaka 40???
Sijakuelewa mkuu, unauliza ama? Maana sentensi zako mwisho zinaviulizo
 
Ilianza baada ya kukatishwa Egoli,niliipenda sana egoli japo nilikua sielewi lugha ya mzungu. Kisha ikaja isidingo,nilivutiwa na sare za shule za letti kama za akina sarafina vile
Egoli! Place of gold
 
Kupitia kituo cha ITV Leo tamthilia ya Isidingo the need imefikia tamati,kwa kumbukumbu sikumbuki ilianza lini hasa ninachokumbuka ni kitambo sana enzi hizo nyumba zenye televisions zilikuwa zinahesabika kipindi hicho tulikuwa tunaita Video hahaaaa wengi walioanza kuisikia sikia enzi hizo ni 30+ jamani mliomo humu ndani kama tamthilia hiyo ulianza nayo tangu hukoo na huna familia inayokutegemea anza kujitafakari hahaaaa natania tuu...hata hivyo mwisho wake haujanipa satisfaction kwakweli ni kama kuna part two ambapo imeishia mafioso Mr sibeko amepigwa risasi na mwanamke tusiyemjua Mara akawa kama amefariki Mara akafungua macho,chapter iliyofungwa vizuri ni ya Sechaba na Phindile...Sibiya hatma yake na mkewe haijajulikana na watoto hatujaelewa ni wa sibiya au LA...hatma ya Nina zamdela,familia ya Lategans ,na ntando.....all in all hii inabaki kuwa moja ya tamthilia bora kabisa nilizowahi kutizama..wajuzi wa mambo humu ndani hii kitu Ina muendelezo?
Nilianza kuiangalia Tangu mwaka 1999
 
Bora hata nikaangalie mabata yanavyopiga mbizi kuliko kuangalia isidingo
 
Finally
IMG_20210305_225803.jpg
 
Isidingo The Need.

La Mujer De Mi Vida.

Acapulco Bay.

Haya madude yalikua yananiudhi kinoma. Bora ilo Acapulco lilikua na show show kiasi chake.
The Passions, The Bold and The Beautiful,.....
 
Ilianza baada ya kukatishwa Egoli,niliipenda sana egoli japo nilikua sielewi lugha ya mzungu. Kisha ikaja isidingo,nilivutiwa na sare za shule za letti kama za akina sarafina vile
Yani upo Kama mimi, egoli ilikua nzuri Sana, isidingo pia sitasahau yale mapenzi ya derick nyati na nandipah, matabane fmly
 
Kupitia kituo cha ITV Leo tamthilia ya Isidingo the need imefikia tamati,kwa kumbukumbu sikumbuki ilianza lini hasa ninachokumbuka ni kitambo sana enzi hizo nyumba zenye televisions zilikuwa zinahesabika kipindi hicho tulikuwa tunaita Video hahaaaa wengi walioanza kuisikia sikia enzi hizo ni 30+ jamani mliomo humu ndani kama tamthilia hiyo ulianza nayo tangu hukoo na huna familia inayokutegemea anza kujitafakari hahaaaa natania tuu...hata hivyo mwisho wake haujanipa satisfaction kwakweli ni kama kuna part two ambapo imeishia mafioso Mr sibeko amepigwa risasi na mwanamke tusiyemjua Mara akawa kama amefariki Mara akafungua macho,chapter iliyofungwa vizuri ni ya Sechaba na Phindile...Sibiya hatma yake na mkewe haijajulikana na watoto hatujaelewa ni wa sibiya au LA...hatma ya Nina zamdela,familia ya Lategans ,na ntando.....all in all hii inabaki kuwa moja ya tamthilia bora kabisa nilizowahi kutizama..wajuzi wa mambo humu ndani hii kitu Ina muendelezo?
We ndo sio wa zamani mm nimeanza kuangalia toka 1999
Walitukatishia Egoli wakaileta hiyo, nikaachana nayo hapohapo, sikuwahi kuifuatilia.
 
Back
Top Bottom