Hatimaye tapeli sugu wa viwanja nchini atiwa nguvuni

Wasalamu, kupitia msaada wa mitandao ya jamii imefanikisha kulikamata tapeli sugu na maarufu nchini jina Yonah Kittah pichani chini.

Kwa miaka mingi amekuwa akifungia kampuni halali za kuuza viwanja na mashamba kwa kulipia kidogo kidogo kwa awamu.
Kuna demu wangu wa zamani alishadadia vile vya Goba.Nikimkatalia,akafosi tukaenda tukaviona ila hatukulipia.
 
Mi wote hawa wa viwanja sijui wanawabeba kwa gari naonaga matapeli. Na ubaya hadi serikali za mitaa za maeneo hayo nazo zinahusika kwenye utapeli. Siku hizi inabidi kufanya uchunguzi wa kutosha kabla hujatengana na milioni zako.
 
Na atawakimbieni tena. Hapo Polisi ni kama kaenda likizo kusalimia. Msije mkashangaa siku mnaenda mnaambiwa jamaa amekimbia hivyo kamtafuteni mumlete.
 
Jipige kifuani useme Mimi ni boys kwa kutapeliwa,
Mwamba mpeni maua yake.
 
Wajinga ndio mliwao
Mtapigwa saaaana
 

Dah kuna watu wana roho za ajabu,poleni wahanga
 
Yaani unatoa pesa kidochi kidochi hadi inafika 60M ili ununue kiwanja!!??

Poleni sana ila ukiishi na akili ya kutomuamini mtu utasalimika na mengi.
 
Hii ni habari njema sana kwangu hii kampuni imenidhulumu viwanja sita na huyu yona anamajibu ya dharau akiwa na wenzake emma. Alieafanikisha kupatikana kwake MUNGU atamlipa. Aemdhulumubwanafunzi wa vyuo viwanja kuanzia Chuo cha maji,kampala chuo cha maendeleo na udsm.
 
Nashangaaga sana eti hata yule Changu dowa aliyezaa na Sugu naye kuna mazezeta yanamtumia pesa awaagizie vitu Uturuki hapo Mimi ndio huwa nashindwa kuelewa.

Hivi mgonjwa wa akili kama Faiza anakutapeli vipi pesa kama wewe una akili timamu.

Tatizo kubwa wengi hamuelewi hili swala la viwanja ujambazi namba moja wameanzisha serikali wenyewe.

Halmashauri inaweza kutangaza kuuza viwanja kwa kukusanya fee ya sh 20,000/= kwa kila fomu halafu hakuna anayeuziwa kiwanja na serikali inadhurumu pesa za watu.

Sasa na magenius wameiona fursa unakodi ofisi nzuri unalipia kodi ya miezi 6, unatafuta wadada 6 waliomaliza Chuo hawana deal unawaweka ofisini kazi yao kukusanya risiti za malipo ya bank wewe mpunga unajaa tu kwenye account.

Ukiona mtu anaishi hotelini miaka yote muogope sana.
 
Anacheza na kipengele police haidili na madai,nendeni mahakamani,atacheza na procedure za mahakama kesi miaka 8 ushahidi haujakamilika,watu wanakataa tamaa anafungua kampuni nyingine
Hukuna criminality hapo mkuu yupo sahihi, otherwise police wafanye falsefiction kuwalinda mliotapeliwa lakin kimsingi hakuna kesi hapo, otherwise civil case ipo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…