Hatimaye tapeli sugu wa viwanja nchini atiwa nguvuni

Kweli mkuu, mtu aliekuja kwa plan B hauwezi pata haki yako Kwa plan A ... Hapo plan B muhimu ...sema watanzania wapole sana
 
Kweli mkuu, mtu aliekuja kwa plan B hauwezi pata haki yako Kwa plan A ... Hapo plan B muhimu ...sema watanzania wapole sana
Tabia ya uaminifu kwa wazungu ilikuja baada ya kuuwana sana ikapelekea wakawa waaminifu kuepukaa kuuwawa.
Zamani ukimdhulumu mtu au fanya ubaya mtu anakutafuta kimya kimya mnamalizana matokeo yake ikapelekea watu kuheshimiana sana kwa hofu ya kuuwana,ndio asili ya uaminifu wa wenzetu hao.
Africa bado, mifumo yetu ya sheria haiwezi pambana na wahalifu labda wahalifu masikini.Afrika kesi ni biashara thus kumkuta tajiri jela labda alikanyaga papaya,tofaut na wenzetu hadhi yako Sio kigezo Cha kushughulikiwa kisheria.
Kule sheria hazimuogopi mtu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao VKP mwaka 2017 walitupeleka Kigamboni huko kucheck viwanja vya kulipa kwa awamu, ila maeneo sikuyapenda. Tulikuwa na group la Whatsapp, baada ya muda nikaanza kuona lawama zimeanza, mara watu wakaanza kutolewa kwenye group, mwishowe nikasikia kesi. Anyways, viwanja vinavyoitwa "vimepimwa lipa kwa awamu ogopa sana"







Tusijekushangaa wakaachiwa tena
 
Huyo white nyuma ndie Yona Kitta .
Hii kesi ya mwaka 2019 alikimbia dhamana hakupatikana na watu wakawa wamechoka kwenda mahakamani kufuatalia kesi,Akafungua kampuni nyingine ya Q na R Manzese Darajani huko kapiga pia pesa za maana.
Wanajua pa kuchomokea
 

Attachments

  • Screenshot_20230721-113352.png
    233.8 KB · Views: 27
Mi wote hawa wa viwanja sijui wanawabeba kwa gari naonaga matapeli. Na ubaya hadi serikali za mitaa za maeneo hayo nazo zinahusika kwenye utapeli. Siku hizi inabidi kufanya uchunguzi wa kutosha kabla hujatengana na milioni zako.
Sure mkuu
 
Poleni sana
 
Huyu jamaa c anauza mpaka bomang'ombe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…