Hatimaye Vodacom wameamua kutapeli watu kupitia M wekeza

Hatimaye Vodacom wameamua kutapeli watu kupitia M wekeza

Vipi NMB jana mifumo yao ilikuwaje? Au nao ni matapeli?
 
tumia akili sawa sawa, m. Wekeza wanatoa riba mpaka ya 13% kwa mwaka, kwamba uweke mil 10 kwenye line yao usubiri faida ya laki na 30 mwisho wa mwaka huoni kwamba ni ujinga huo na ni risk?
Ulivyokua huna akili hata hesabu hujui tangu lini milion 10 halafu riba 13% ikatoa laki na 30 mwisho wa mwaka Rudi shule
 
Back
Top Bottom