Hatimaye Vodacom wameamua kutapeli watu kupitia M wekeza

Hatimaye Vodacom wameamua kutapeli watu kupitia M wekeza

Acha kuandika upumbavu mkuu. Matatizo ya mitandao kutopatikana nijambo la kawaida nchini
We ndio mpumbavu mtandao ukisumbua inabidi wawaeleze wateja Sasa wao wakikaa kimya wateja watafikiriaje kama sio utapeli ama kweli watanzania ni maiti jomo kenyata alisema
 
Unawekeza nin sasa huko kwenye sim ya mkononi, ukidondosha ikapotea?
Wewe naye Bure ,sasa ukidondosha simu huwezi renew line,!? Kwani benki unawekeza nini sasa? Je ukidondosha kadi ya benki!?
 
We ndio mpumbavu mtandao ukisumbua inabidi wawaeleze wateja Sasa wao wakikaa kimya wateja watafikiriaje kama sio utapeli ama kweli watanzania ni maiti jomo kenyata alisema
Punguza ujinga mkuu
 
Wewe naye Bure ,sasa ukidondoka simu huwezi renew line,!? Kwani benki unawekeza nini sasa? Je ukidondosha kadi ya benki!?
Ukidondosha kadi ya bank nihatari zaidi ikiangukia mikononi mwa wataalamu 🤣
 
Wewe naye Bure ,sasa ukidondoka simu huwezi renew line,!? Kwani benki unawekeza nini sasa? Je ukidondosha kadi ya benki!?
tofautisha kadi ya benk na sim ya mkononi ama ki sim card jinsi kilivyokidogo. Hivi uwekeze e.g mil 20 uweke kwenye line!!
 
Kama hawa ndio watanzania bado tuna safari refu Sana 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom