Hatimaye Vodacom wameamua kutapeli watu kupitia M wekeza

Hoja yako ya mtandao kusumbua na hitimisho la utapeli vinakosa mantiki.
Watanzania ni makondoo na wewe ndio umethibitisha asilimia 100% ukondoo wa mtanzania kampuni yoyote mtando ukisumbua siku nzima ni lazima itoe habari Kwa wateja wake saa kukaa kimya wateja wenye akili lazima tuhoji
 
Izo ni technical problems..mambo yatakua poa..kuwa accuse kwa mda mfupi hivo sio sawa .Tena ni Tuhuma kubwa uliyotoa
 
Watanzania ni makondoo na wewe ndio umethibitisha asilimia 100% ukondoo wa mtanzania kampuni yoyote mtando ukisumbua siku nzima ni lazima itoe habari Kwa wateja wake saa kukaa kimya wateja wenye akili lazima tuhoji
Sawa unaweza kuhoji. La kwanza Kwa uwekezaji serious ulitakiwa uwahoji Voda sio hapa JF. Pili hukutakiwa kuhitimisha ni utapeli, ungeuliza tu nini kinaendelea? Hakuna cha ukondoo hapo.
 
Ukiona hivyo nimeshawahoji sana wapo kimya we ni kondoo usikatae
 
Back
Top Bottom