Hatimaye Vodacom wameamua kutapeli watu kupitia M wekeza

Hatimaye Vodacom wameamua kutapeli watu kupitia M wekeza

mda mwingine wasiliana nao unakuta hawana taarifa hii mifumo haija sukwa na mungu wazee * pia wako regulated wasiwasi wa nini mkuu
 
Unawekeza nin sasa huko kwenye sim ya mkononi, ukidondosha ikapotea?
Mmmmm kwani info zako zinakaa kwenye line ? Ahhahaa khaaa ....sim card ni interface tu.....kama unaaccess account bank ...same way na huduma za mtandao yasimu
 
Tangia Jana mfumo wa m wekeza haungiliki na Vodacom wameamua kukaa kimya maana yake wametapeli hili halitavumilika labda wafunge ofisi zao
Voda wamesajiliwa sawa na wengine wanawek3za hizo FD hawezi kutapeli hata siku moja...jiamini hata Banks hufilisika pia uzuri Voda wana products kibao kufa Sio rahisi..
 
Voda wamesajiliwa sawa na wengine wanawek3za hizo FD hawezi kutapeli hata siku moja...jiamini hata Banks hufilisika pia uzuri Voda wana products kibao kufa Sio rahisi..
What if product hii ikifa
 
Back
Top Bottom