Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Wew Bure humo kichwani mwake,Rudi shuletofautisha kadi ya benk na sim ya mkononi ama ki sim card jinsi kilivyokidogo. Hivi uwekeze e.g mil 20 uweke kwenye line!!
Hata mimI nimeshangaa sana kijana amepatwa na nini🤣Kwamba mfumo kusumbua ushahitimisha ni utapeli!
Akawekeze kwingine atapata presha eti mfumo umesumbua na voda wamekaa kimya maana yake wametapeli! Voda sio co. ya upatu mzeHata mimI nimeshangaa sana kijana amepatwa na nini🤣
Ulitaka tuwe makondoo Kila kitu ndio wakati tumeweka pesa sio makaratasiHapo umeuliza au umetoa tuhuma ambazo sio za kweli mkuu?
Nimeamini watanzania ni makondoo ndio maana ccm itaongoza mileleAkawekeze kwingine atapata presha eti mfumo umesumbua na voda wamekaa kimya maana yake wametapeli! Voda sio co. ya upatu mze
Hoja yako ya mtandao kusumbua na hitimisho la utapeli vinakosa mantiki.Nimeamini watanzania ni makondoo ndio maana ccm itaongoza milele
Watanzania ni makondoo na wewe ndio umethibitisha asilimia 100% ukondoo wa mtanzania kampuni yoyote mtando ukisumbua siku nzima ni lazima itoe habari Kwa wateja wake saa kukaa kimya wateja wenye akili lazima tuhojiHoja yako ya mtandao kusumbua na hitimisho la utapeli vinakosa mantiki.
Wanabidi watoe taarifa sio kukaa kimya siku nzimaIzo ni technical problems..mambo yatakua poa..kuwa accuse kwa mda mfupi hivo sio sawa .Tena ni Tuhuma kubwa uliyotoa
Sawa unaweza kuhoji. La kwanza Kwa uwekezaji serious ulitakiwa uwahoji Voda sio hapa JF. Pili hukutakiwa kuhitimisha ni utapeli, ungeuliza tu nini kinaendelea? Hakuna cha ukondoo hapo.Watanzania ni makondoo na wewe ndio umethibitisha asilimia 100% ukondoo wa mtanzania kampuni yoyote mtando ukisumbua siku nzima ni lazima itoe habari Kwa wateja wake saa kukaa kimya wateja wenye akili lazima tuhoji
Kabisa. Hitimisho lake ni la mapema mno.Izo ni technical problems..mambo yatakua poa..kuwa accuse kwa mda mfupi hivo sio sawa .Tena ni Tuhuma kubwa uliyotoa
....mtoa mada ni wa kupuuzwa🚮Jana NMB ilisumbua, Airtel nayo ikasumbua.
Mtoa mada ni wa kupuuzwa..
Ukiona hivyo nimeshawahoji sana wapo kimya we ni kondoo usikataeSawa unaweza kuhoji. La kwanza Kwa uwekezaji serious ulitakiwa uwahoji Voda sio hapa JF. Pili hukutakiwa kuhitimisha ni utapeli, ungeuliza tu nini kinaendelea? Hakuna cha ukondoo hapo.
We ni mbishi sana!Ukiona hivyo nimeshawahoji sana wapo kimya we ni kondoo usikatae
We ni kondooWe ni mbishi sana!
Kwa hiyo mkuu hiyo milioni Yako moja unaichungulia mara ngapi Kwa siku?We ni kondoo
Ushasema yangu utaniulizaje habari za kuichungulia ndio maana nikasema we ni kondooKwa hiyo mkuu hiyo milioni Yako moja unaichungulia mara ngapi Kwa siku?