brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 1,034
- 1,638
Tuliza wenge pesa yako haitapotea, voda sio D9Ushasema yangu utaniulizaje habari za kuichungulia ndio maana nikasema we ni kondoo
Amekurupuka 😂Jana NMB ilisumbua, Airtel nayo ikasumbua.
Mtoa mada ni wa kupuuzwa..
We ni kondoo?Tuliza wenge pesa yako haitapotea, voda sio D9
Mmmmm kwani info zako zinakaa kwenye line ? Ahhahaa khaaa ....sim card ni interface tu.....kama unaaccess account bank ...same way na huduma za mtandao yasimuUnawekeza nin sasa huko kwenye sim ya mkononi, ukidondosha ikapotea?
Voda wamesajiliwa sawa na wengine wanawek3za hizo FD hawezi kutapeli hata siku moja...jiamini hata Banks hufilisika pia uzuri Voda wana products kibao kufa Sio rahisi..Tangia Jana mfumo wa m wekeza haungiliki na Vodacom wameamua kukaa kimya maana yake wametapeli hili halitavumilika labda wafunge ofisi zao
What if product hii ikifaVoda wamesajiliwa sawa na wengine wanawek3za hizo FD hawezi kutapeli hata siku moja...jiamini hata Banks hufilisika pia uzuri Voda wana products kibao kufa Sio rahisi..