Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi tuliamua kujikita kwenye ajenda zetu.
Lakini sasa jasho letu limeanza kuamsha hata waliokuwa ndani ya majeneza ni mapema lakini angalau kuna mwanga na matunda ya Juhudi zetu yameonekana.
Lakini sasa jasho letu limeanza kuamsha hata waliokuwa ndani ya majeneza ni mapema lakini angalau kuna mwanga na matunda ya Juhudi zetu yameonekana.