Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lembeni, Kilimanjaro 😂
Kwa sababu limeandika uongo unaokufurahisha?Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi tuliamua kujikita kwenye ajenda zetu.
Lakini sasa jasho letu limeanza kuamsha hata waliokuwa ndani ya majeneza ni mapema lakini angalau kuna mwanga na matunda ya Juhudi zetu yameonekana.
View attachment 2881905
Yet mnatoa lugha chafu Kwa Dr Samia, mnadhani haya mambo yanatokana na katiba la hasha kwani miaka yote mabomu yalipokuwa yanatumika kutawanya waandamanaji hakukuwa na viongozi!? Kongole Kwa Dr SamiaKwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi tuliamua kujikita kwenye ajenda zetu.
Lakini sasa jasho letu limeanza kuamsha hata waliokuwa ndani ya majeneza ni mapema lakini angalau kuna mwanga na matunda ya Juhudi zetu yameonekana.
View attachment 2881905
View attachment 2882285
View attachment 2882287
Demokrasia huku uwezo kifedha ni utumwani hatua nzuri, hatimae demokrasia inakuwa
HakikaHuenda tukaaza kununua magazeti kwani tuliacha kabisa kununua upuuzi wa kupangiwa vya kuandika!
Kama hutaki demokrasia unataka nini?.Kwasababu nikama ata haujui demokrasia ni nini.Hivi mnaongea demokrasia mnaijua nyie lakini, umaskini wa afrika unaletwa na huu ujinga unaitwa demokrasia, ukiona mzungu anafosi jambo lifanyike africa jua ni kwa ajili ya manufaa yake na sio ya waafrica sijui huu umbumbumbu africa utatoka lini
Haya maandamano ya Chadema mi nayachukulia kama maandamano ya kuunga mkono Royal Tour! Ahahahahaha!Mlale Unono 😄😄😂
Tundu Antipas Lisu
Noop!! Ni maagizo kutoka juu kabisa.Wameripoti kwa sababu Chalamila na Polisi walishiriki hayo maandamano.
Najiona kama vile nashawishika kununua magazetiKwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi tuliamua kujikita kwenye ajenda zetu.
Lakini sasa jasho letu limeanza kuamsha hata waliokuwa ndani ya majeneza ni mapema lakini angalau kuna mwanga na matunda ya Juhudi zetu yameonekana.
View attachment 2881905
View attachment 2882285
View attachment 2882287
Si Hekima za Samia , shukuruni Wazungu
Jana Tanzania nzima imeona na kuamini kwamba wanaopenda na kuleta fujo sio wanaoitisha maandamano bali wale wanaoyapiga marufuku.
Hekima za Rais Samia zimetusaidia kujua tatizo lipo wapi.
Si Hekima za Samia , shukuruni WazunguView attachment 2882837
Washauri wa Samia ndio akina Makonda , unadhani hawa wanataka maandamano ?
Mkuu, mimi sifanyi siasa hapa. Wakati wa Magufuli hao wazungu hawakuwepo?
Lazima tukubali ukweli, maandamano ya jana yamewezekana kwa hekima za Rais Samia. Hata hivyo pia sio sawa haki za watu kutegemea hekima ya mtu mmoja.
Ila wanaweza kuwa vibaraka wa upande wa upinzani pia. Vipi unabariki kazi yao hiyo ya kuripoti Kisam-Mahela?Nashangaa hata mimi. Waandishi vibaraka wote leo wamekuwa mstari wa mbele kuripoti.