Hatimaye Vyombo vya Habari vya Tanzania vyajiondoa ndani ya Chungu, hebu Someni hili gazeti

Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi tuliamua kujikita kwenye ajenda zetu.

Lakini sasa jasho letu limeanza kuamsha hata waliokuwa ndani ya majeneza ni mapema lakini angalau kuna mwanga na matunda ya Juhudi zetu yameonekana.

Asiyelewa jambo haambiwi jambo.

Hapo mmepigwa na kitu kizito, bado mnachekelea.
 
Magazeti ni biashara

Soko linalengwa Wana Chadema watanununua magazeti yenye hivyo vichwa vya habari Hadi basi

Unashangaaa nini
Siku nyingine huwa hawaoni soko la hao wana CHADEMA? What a fool urgument!
 
Kizazi kipya na mwamko mpya.

Wazee wa chama kongwe dola kama kina Mzee Stephen Masatu Wasira na wenzake, watasema sisi vijana leo tumetukana sana katika maandamano kupitia jumbe za mabango yaliyobwa kuelezea hali ngumu ya maisha na dai la umuhimu wa katiba mpya ili kupata viongozi sahihi.
Walisha rogwa hao
 
Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi tuliamua kujikita kwenye ajenda zetu.

Lakini sasa jasho letu limeanza kuamsha hata waliokuwa ndani ya majeneza ni mapema lakini angalau kuna mwanga na matunda ya Juhudi zetu yameonekana.

View attachment 2881905
Mwananchi maji yamemfika shingoni. Jana Martini Maranja Manase alimkemea kwa kwenda kupiga picha Magufuli stand akionesha kuwa hakuna mtu hata mmoja katika Maandamano kwenye saa 12 asubuhi! Nadhani roho imewasuta Erythrocyte
 
Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi tuliamua kujikita kwenye ajenda zetu.

Lakini sasa jasho letu limeanza kuamsha hata waliokuwa ndani ya majeneza ni mapema lakini angalau kuna mwanga na matunda ya Juhudi zetu yameonekana.

View attachment 2881905
Ni kwa muda lakini watarudi kule kule
 
Back
Top Bottom