Hatimaye Vyombo vya Habari vya Tanzania vyajiondoa ndani ya Chungu, hebu Someni hili gazeti

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi tuliamua kujikita kwenye ajenda zetu.

Lakini sasa jasho letu limeanza kuamsha hata waliokuwa ndani ya majeneza ni mapema lakini angalau kuna mwanga na matunda ya Juhudi zetu yameonekana.



 
Nashangaa hata mimi. Waandishi vibaraka wote leo wamekuwa mstari wa mbele kuripoti.
 
Maandamano ya leo yamewalza mafisadi na viatu
 
Kizazi kipya na mwamko mpya.

Wazee wa chama kongwe dola kama kina Mzee Stephen Masatu Wasira na wenzake, watasema sisi vijana leo tumetukana sana katika maandamano kupitia jumbe za mabango yaliyobwa kuelezea hali ngumu ya maisha na dai la umuhimu wa katiba mpya ili kupata viongozi sahihi.
 
Hivi mnaongea demokrasia mnaijua nyie lakini, umaskini wa afrika unaletwa na huu ujinga unaitwa demokrasia, ukiona mzungu anafosi jambo lifanyike africa jua ni kwa ajili ya manufaa yake na sio ya waafrica sijui huu umbumbumbu africa utatoka lini
 
Wameripoti kwa sababu Chalamila na Polisi walishiriki hayo maandamano.
 
Nashangaa hata mimi. Waandishi vibaraka wote leo wamekuwa mstari wa mbele kuripoti.
Magazeti ni biashara

Soko linalengwa Wana Chadema watanununua magazeti yenye hivyo vichwa vya habari Hadi basi

Unashangaaa nini
 
Mungu Ibariki CHADEMA.. Sasa vitaanza kupata biashara tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…