Njaa ya ruzuku ndiyo imempelekea mbowe kujitoa fahamu zote kufanya hivyo viojaHii inaleta taswira gani?
Chama hakina msimamo? Njaa? au ubinafsi wa viongozi?
Kwaiyo mlivyotaka tuandamane tuvunjwe miguu, afu baadae mkae meza ya maridhiano mkubaliane sio?
Aseee akili za kuambiwa changanya na zako, wa Tz wenzangu tuwe makini na wasaka tonge usimwamin mwana siasa yeyote yule, Familia yako ni bora kuliko chama.
Ifike kipindi mgundue hiki chama kimepoteza dira, hakina mwelekeo tena coz hakina tena misingi kinayoisimamia. Walichokifanya 2015 lilipaswa kuwa funzo tosha kama ni muelewa. Saizi wanapambana tu kusurvive, na mtu anaepambana kusurvive hana aibu anaweza kufanya chochote na muda wowote. Hiki chama kinawavua nguo wapiga vuvuzela wao kama weweMsimamo uko pale pale boss, usiwe na haraka maana utaona mengi ambayo hukuyategemea.
Kwani wewe kila KAMATI KUU na halmashauri kuu yenu unapata TAARIFA?!!Kama wangekwenda huko kwa mapenzi yao kwa ridhaa zao na wanachama ingeleta maana, kwenda Bungeni kisa mwenyekiti anawinda ruzuku ndiyo Dhambi kubwa waliyoitenda
Hii ilikua haijawakuta.
Kina halima wameilewa slogan Ya maendeleo hayana vyama
ErythrocyteSexless, salary slip, kuna huyu mwingine jina lake gumu erycr....... dah hivi hawamo hawa
Manyumbu tu....Ifike kipindi mgundue hiki chama kimepoteza dira, hakina mwelekeo tena coz hakina tena misingi kinayoisimamia. Walichokifanya 2015 lilipaswa kuwa funzo tosha kama ni muelewa. Saizi wanapambana tu kusurvive, na mtu anaepambana kusurvive hana aibu anaweza kufanya chochote na muda wowote. Hiki chama kinawavua nguo wapiga vuvuzela wao kama wewe
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi,nyumbu huwa hajui kuhoji matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, nyumbu hukubali kila kitu ndiyo maana wamekubali chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na endapo akija Rais mwingine wa CCM tokea karatu atajenga karatu Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge piaKwani wewe kila KAMATI KUU na halmashauri kuu yenu unapata TAARIFA?!!
Mnyika ni MUONGO kama TUMBA MBICHI....
Anawadanganya MANYUMBU....
CHEZO LOTE analitambua...na kashiriki...afanyalo kwenu wavaa MATURUBAI ni hadaa MCHEZO WA KADENGE....🤣🤣
Mnyika popote ulipo umenkosha kwa kusema hata "NUSRAT HANJE" hujui AMEFIKAJE BUNGENI🤣🤣🤣
Na asivyo na AIBU...atakuja tu kuwapa HOPE nyumbu wake....Sasa huenda idadi ya wananchi wasio na vyama ikaongezeka endapo mbowe atakaa kimya pasipo kutoa tamko lolote juu ya tuhuma zake kuchukua pesa kuuza wabunge wa kike zitaendelea kusambaa zaidi.
Ifike kipindi mgundue hiki chama kimepoteza dira, hakina mwelekeo tena coz hakina tena misingi kinayoisimamia. Walichokifanya 2015 lilipaswa kuwa funzo tosha kama ni muelewa. Saizi wanapambana tu kusurvive, na mtu anaepambana kusurvive hana aibu anaweza kufanya chochote na muda wowote. Hiki chama kinawavua nguo wapiga vuvuzela wao kama wewe
Nyumbu ni CCM kitengo cha CCM kutumia pesa za viwanda kudidimiza demokrasia pasipo kuhoji ni unyumbu huoManyumbu tu...
Nyumbu ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani ni unyumbu huoNa asivyo na AIBU...atakuja tu kuwapa HOPE nyumbu wake....
(Km alivyoibadili gia ya helicopter 2015).
Na hata AKIWAKATAA wabunge hao watabaki BUNGENI mpaka 2025 huku AKIENDELEA KULAMBA YALE MAKUBALIANO kama kawaaaaa.....
Tafuta chama uniunge Chadema haina msimamo na wewe umesema una msimamoMisimamo yangu ni dhabiti bila kujali udhaifu wa baadhi ya watu. Mimi ni mmoja ya watu wenye imani na cdm lakini nilipinga waziwazi ujio wa Lowassa ndani ya cdm. Na pia ni mtu ambaye nilipinga waziwazi Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya miaka 15. Sasa napata aibu ya nini kwenye changamoto za hivi labda? Sasa kama sikuogopa wakati huo na nilibaki kuwa mpinzani, hili la leo ninaogopa nini labda?
Mbowe hafai sasa ni wakati afukuzwe mara mojaMisimamo yangu ni dhabiti bila kujali udhaifu wa baadhi ya watu. Mimi ni mmoja ya watu wenye imani na cdm lakini nilipinga waziwazi ujio wa Lowassa ndani ya cdm. Na pia ni mtu ambaye nilipinga waziwazi Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya miaka 15. Sasa napata aibu ya nini kwenye changamoto za hivi labda? Sasa kama sikuogopa wakati huo na nilibaki kuwa mpinzani, hili la leo ninaogopa nini labda?
Hapa ndipo mnapofeli kila mtu kanunuliwa,lkn kwa waelewa waliyaona haya tokea 2015.Pesa iliyotumika kuwanunua ingetosha kujenga viwanda 100 na Hospitali kubwa ya rufaa Morogoro na kwingineko Nchini lakini CCM wameona wawanunue wabunge wa CHADEMA wakwepe vikwazo vya kimataifa
Uko tayari kuchangia chama ili kisitegemee ruzuku?Mbowe kaangalia njaa yake binafsi hakuangalia msitakabari wa chama , ni ruzuku inamtoa udenda mbowe mpaka kujitoa fahamu zote kuendekeza njaa kiasi hicho
IdhiniNyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi,nyumbu huwa hajui kuhoji matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, nyumbu hukubali kila kitu ndiyo maana wamekubali chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na endapo akija Rais mwingine wa CCM tokea karatu atajenga karatu Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge pia
Zungumza kwa dataMiaka 59 sasa Nchi chini ya CCM hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za walipa kodi zinatumika kununua upinzani mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa, hata huto tuvimaendeleo kiduchu twa flyover SGR bwawa la umeme tumejaa ufisadi mkubwa kama ununuzi wa Ndege na ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, CCM ni ile ile hakuna malaika wote ni waumini wa vitendo haramu vya kishetani
Fahamu: tatizo si kupeleka wabunge, tatizo ni kwa nini halikujadiliwa wazi na wanachama? Kwa nini limefanywa kinyemela? Hii inaonesha wazi hakuna maslahi ya upinzani yatahifadhiwa huko.Watu Wana povuka kuhusu hivi viti maalumu hawajui umuhimu wa kusaidia CDM isipotee midomoni,na hata speaker akiwatesa SAUTi yao itasikika, pia CDM kugoma kuwapeleka wangepoteza support ya kina mama wengi. Hii ni good move kuliko mihemko ya wengi humu mtandaoni