minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Njaa ya ruzuku ndiyo imempelekea mbowe kujitoa fahamu zote kufanya hivyo viojaHii inaleta taswira gani?
Chama hakina msimamo? Njaa? au ubinafsi wa viongozi?
Kwaiyo mlivyotaka tuandamane tuvunjwe miguu, afu baadae mkae meza ya maridhiano mkubaliane sio?
Aseee akili za kuambiwa changanya na zako, wa Tz wenzangu tuwe makini na wasaka tonge usimwamin mwana siasa yeyote yule, Familia yako ni bora kuliko chama.