Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Hii inaleta taswira gani?

Chama hakina msimamo? Njaa? au ubinafsi wa viongozi?

Kwaiyo mlivyotaka tuandamane tuvunjwe miguu, afu baadae mkae meza ya maridhiano mkubaliane sio?
Aseee akili za kuambiwa changanya na zako, wa Tz wenzangu tuwe makini na wasaka tonge usimwamin mwana siasa yeyote yule, Familia yako ni bora kuliko chama.
Njaa ya ruzuku ndiyo imempelekea mbowe kujitoa fahamu zote kufanya hivyo vioja
 
Msimamo uko pale pale boss, usiwe na haraka maana utaona mengi ambayo hukuyategemea.
Ifike kipindi mgundue hiki chama kimepoteza dira, hakina mwelekeo tena coz hakina tena misingi kinayoisimamia. Walichokifanya 2015 lilipaswa kuwa funzo tosha kama ni muelewa. Saizi wanapambana tu kusurvive, na mtu anaepambana kusurvive hana aibu anaweza kufanya chochote na muda wowote. Hiki chama kinawavua nguo wapiga vuvuzela wao kama wewe
 
Kama wangekwenda huko kwa mapenzi yao kwa ridhaa zao na wanachama ingeleta maana, kwenda Bungeni kisa mwenyekiti anawinda ruzuku ndiyo Dhambi kubwa waliyoitenda
Kwani wewe kila KAMATI KUU na halmashauri kuu yenu unapata TAARIFA?!!

Mnyika ni MUONGO kama TUMBA MBICHI....
Anawadanganya MANYUMBU....

CHEZO LOTE analitambua...na kashiriki...afanyalo kwenu wavaa MATURUBAI ni hadaa MCHEZO WA KADENGE....🤣🤣

Mnyika popote ulipo umenkosha kwa kusema hata "NUSRAT HANJE" hujui AMEFIKAJE BUNGENI🤣🤣🤣
 
Hii ilikua haijawakuta.

Kina halima wameilewa slogan Ya maendeleo hayana vyama

Kaondoka Slaa na bado hatukushoboka naye, ndio itakuwa hao waliopo bado cdm bila kufuata misimamo yetu?
 
Sasa huenda idadi ya wananchi wasio na vyama ikaongezeka endapo mbowe atakaa kimya pasipo kutoa tamko lolote juu ya tuhuma zake kuchukua pesa kuuza wabunge wa kike zitaendelea kusambaa zaidi.
 
Ifike kipindi mgundue hiki chama kimepoteza dira, hakina mwelekeo tena coz hakina tena misingi kinayoisimamia. Walichokifanya 2015 lilipaswa kuwa funzo tosha kama ni muelewa. Saizi wanapambana tu kusurvive, na mtu anaepambana kusurvive hana aibu anaweza kufanya chochote na muda wowote. Hiki chama kinawavua nguo wapiga vuvuzela wao kama wewe
Manyumbu tu....

Yaani alichowafanyia Mh.MBOWE kwa kule kubadili GIA ANGANI hakukuwa FUNZO?!!

Leo amekuja tena na PROJECT mpya ya WATU 19....🤣🤣🤣

3×19= ?
3×19= ?

🤔
 
Kwani wewe kila KAMATI KUU na halmashauri kuu yenu unapata TAARIFA?!!

Mnyika ni MUONGO kama TUMBA MBICHI....
Anawadanganya MANYUMBU....

CHEZO LOTE analitambua...na kashiriki...afanyalo kwenu wavaa MATURUBAI ni hadaa MCHEZO WA KADENGE....🤣🤣

Mnyika popote ulipo umenkosha kwa kusema hata "NUSRAT HANJE" hujui AMEFIKAJE BUNGENI🤣🤣🤣
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi,nyumbu huwa hajui kuhoji matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, nyumbu hukubali kila kitu ndiyo maana wamekubali chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na endapo akija Rais mwingine wa CCM tokea karatu atajenga karatu Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge pia
 
Sasa huenda idadi ya wananchi wasio na vyama ikaongezeka endapo mbowe atakaa kimya pasipo kutoa tamko lolote juu ya tuhuma zake kuchukua pesa kuuza wabunge wa kike zitaendelea kusambaa zaidi.
Na asivyo na AIBU...atakuja tu kuwapa HOPE nyumbu wake....
(Km alivyoibadili gia ya helicopter 2015).

Na hata AKIWAKATAA wabunge hao watabaki BUNGENI mpaka 2025 huku AKIENDELEA KULAMBA YALE MAKUBALIANO kama kawaaaaa.....
 
Ifike kipindi mgundue hiki chama kimepoteza dira, hakina mwelekeo tena coz hakina tena misingi kinayoisimamia. Walichokifanya 2015 lilipaswa kuwa funzo tosha kama ni muelewa. Saizi wanapambana tu kusurvive, na mtu anaepambana kusurvive hana aibu anaweza kufanya chochote na muda wowote. Hiki chama kinawavua nguo wapiga vuvuzela wao kama wewe

Misimamo yangu ni dhabiti bila kujali udhaifu wa baadhi ya watu. Mimi ni mmoja ya watu wenye imani na cdm lakini nilipinga waziwazi ujio wa Lowassa ndani ya cdm. Na pia ni mtu ambaye nilipinga waziwazi Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya miaka 15. Sasa napata aibu ya nini kwenye changamoto za hivi labda? Sasa kama sikuogopa wakati huo na nilibaki kuwa mpinzani, hili la leo ninaogopa nini labda?
 
Na asivyo na AIBU...atakuja tu kuwapa HOPE nyumbu wake....
(Km alivyoibadili gia ya helicopter 2015).

Na hata AKIWAKATAA wabunge hao watabaki BUNGENI mpaka 2025 huku AKIENDELEA KULAMBA YALE MAKUBALIANO kama kawaaaaa.....
Nyumbu ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani ni unyumbu huo
 
Misimamo yangu ni dhabiti bila kujali udhaifu wa baadhi ya watu. Mimi ni mmoja ya watu wenye imani na cdm lakini nilipinga waziwazi ujio wa Lowassa ndani ya cdm. Na pia ni mtu ambaye nilipinga waziwazi Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya miaka 15. Sasa napata aibu ya nini kwenye changamoto za hivi labda? Sasa kama sikuogopa wakati huo na nilibaki kuwa mpinzani, hili la leo ninaogopa nini labda?
Tafuta chama uniunge Chadema haina msimamo na wewe umesema una msimamo
Sasa hapo huoni Kama kuwa Chadema NI kivhekesho Bora basi uunge juhudi
Maana kiongozi was chama aliyebaki anasimamia maneno yake NI Magu tu
 
Misimamo yangu ni dhabiti bila kujali udhaifu wa baadhi ya watu. Mimi ni mmoja ya watu wenye imani na cdm lakini nilipinga waziwazi ujio wa Lowassa ndani ya cdm. Na pia ni mtu ambaye nilipinga waziwazi Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm zaidi ya miaka 15. Sasa napata aibu ya nini kwenye changamoto za hivi labda? Sasa kama sikuogopa wakati huo na nilibaki kuwa mpinzani, hili la leo ninaogopa nini labda?
Mbowe hafai sasa ni wakati afukuzwe mara moja
 
Pesa iliyotumika kuwanunua ingetosha kujenga viwanda 100 na Hospitali kubwa ya rufaa Morogoro na kwingineko Nchini lakini CCM wameona wawanunue wabunge wa CHADEMA wakwepe vikwazo vya kimataifa
Hapa ndipo mnapofeli kila mtu kanunuliwa,lkn kwa waelewa waliyaona haya tokea 2015.
 
Mbowe kaangalia njaa yake binafsi hakuangalia msitakabari wa chama , ni ruzuku inamtoa udenda mbowe mpaka kujitoa fahamu zote kuendekeza njaa kiasi hicho
Uko tayari kuchangia chama ili kisitegemee ruzuku?

Chama cha siasa kinapaswa kutumia kila aina ya fursa halali iliyo mbele yake.
 
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi,nyumbu huwa hajui kuhoji matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, nyumbu hukubali kila kitu ndiyo maana wamekubali chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na endapo akija Rais mwingine wa CCM tokea karatu atajenga karatu Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge pia
Idhini
Idhini
Idhini

Mabunge yote duniani huwa YANAACHA BAADHI YA MAMBO...

Hivi kuna BUNGE MATATA km THE COMMONS la UINGEREZA?!!

Blair na BUSH walikwenda IRAQ bila ya hata BUNGE kuridhia(wasn't it a subversion to the Constitution maxima?)

Huko CONGRESS US nako hivyohivyo.....

Wee Trump tu kataka kuOVERTUN the will of the majority despite of his failure and not yet to concede per rules and regulations......

Minyoo banaaaa....
 
Miaka 59 sasa Nchi chini ya CCM hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za walipa kodi zinatumika kununua upinzani mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa, hata huto tuvimaendeleo kiduchu twa flyover SGR bwawa la umeme tumejaa ufisadi mkubwa kama ununuzi wa Ndege na ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, CCM ni ile ile hakuna malaika wote ni waumini wa vitendo haramu vya kishetani
Zungumza kwa data
 
Watu Wana povuka kuhusu hivi viti maalumu hawajui umuhimu wa kusaidia CDM isipotee midomoni,na hata speaker akiwatesa SAUTi yao itasikika, pia CDM kugoma kuwapeleka wangepoteza support ya kina mama wengi. Hii ni good move kuliko mihemko ya wengi humu mtandaoni
Fahamu: tatizo si kupeleka wabunge, tatizo ni kwa nini halikujadiliwa wazi na wanachama? Kwa nini limefanywa kinyemela? Hii inaonesha wazi hakuna maslahi ya upinzani yatahifadhiwa huko.
Ni wazi CCM ina shinikizo kubwa la dunia, na ndiyo maana ikataka 'upinzani' uwepo bungeni. Ingekuwa wanasiasa wa upinzani wana akili (maana hawana, uchu tu) wangelazimisha Fidia kubwa kwa CCM. Fidia si fedha, bali siasa na misimamo ya kidemokrasia. Wangelazimisha hawata 'sign up', mpaka ikubalike Katiba mpya, Tume Huru na maovu yanayofanyiwa upinzani yakomeshwe, nk nk. Tena haya yasingewekwa siri. Yangejadiliwa wazi na wanachama walioumia sana katika uchaguzi uliopita. Lakini wamekubali kununuliwa kwa vijisenti vichache. Kwani hata ikiwa ni mabilioni, CCM wanazo Zaidi!
Lakini bado naona kiwingu kimefunika, kwa sababu jina la Tanzania limeshachafuliwa, na ni vigumu vitendo hivi vya kuwadanganya 'naive' Watanzania vitaweza kuwadanganya hao wanaoogopewa!
 
Back
Top Bottom