Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Nimemsikia Halima akitoa hotuba fupi baada ya kuapishwa akikishukru chama na Mwenyekiti wake Mbowe. Kwamba chama na Chairman wametoa baraka zao zote kwa Wabunge 19 wa kuteuliwa kwenda kula kiapo!Kwa hiyo Mdee na Bulaya wameendaje bila katibu kupeleka majina? Nyie watu mtaongopewa hadi lini?? Mnyika anajua anachofanya na hao kina Mdee
Nina amini CHADEMA uongozi wa juu kwa maana ya CC na watakuwa wamekaa na kuzungumxia hii habari. Naamini Tundu Lissu atakuwa amehusishwa na kufikia mwafaka l
Mimi napenda kuwapongeza CHADEMA kwa uamzi huu wa kishujaa. Nitaeleza :
- Wamepeleka Wabunge wanawake ambao ni MAJEMBE kwa kuchangia hoja, kujenga hoja,kupangua na kuchambua hoja. Sina shaka na Halima, Esther, Pareso na wengine ni Wabunge makini sana,
- CHADEMA wameona mbali. Kwa vile JIWE alikuwa na nia ya kuua na kufuta UPINZANI Bungeni hasa KUB kwa move hii JIWE atakwama. Tayari CHADEMA ina Wabunge 20 ndani ya Bunge watakaou ngana na wale wa ACT Wazalendo na yule 1 wa CUF.
- Napendekeza Mhe. Halima Mdee awe Kiongoxi wa KUB ili apambane na mafisi wa CCM Bungeni.
- Hii itakuwa ni FURSA YA CHADEMA, ACT na CUF kupaza sauti zao kuelexa MADUDU NA MAOVU YOTE YA WIZI WA KURA ULIOFANYWA NA CCM wakti wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
- CHADEMA pia watakuwa wameepuka kufutika katika siasa za Upinzani kwa kuendelea KUPATA RUZUKU ITAKAYO KISAIDIA CHAMA KUJIENDESHA. Tusidanganyane chama bila fedha iwe ya Michango ya Wanachama au RUZUKU hakiwezi ku-survive.
Hivo wabunge 19 mlioteuliwa kupeperusha bendera ya CHADEMA Bungeni kapigeni kazi kuonesha uhai na uwepo wa CHADEMA Chama chenye nguvu Tanzania. MUNGU IBARIKI CHADEMA.