Wewe ndiyo unasema haukuwa huru na haki. Chadema wanajua ulikuwa huru na haki na leo wamepeleka wabunge viti maalum kuapa. Pole sana na kibaraka Lissu Amsterdam!Nonsense, halafu useme uchaguzi haukuwa huru na haki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo unasema haukuwa huru na haki. Chadema wanajua ulikuwa huru na haki na leo wamepeleka wabunge viti maalum kuapa. Pole sana na kibaraka Lissu Amsterdam!Nonsense, halafu useme uchaguzi haukuwa huru na haki?
Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
Wabunge wa viti Maalum CHADEMA wanaoapishwa ni:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendeka
3. Ester Bulaya,
4. Kunti Yusuf
5. Salome Makamba
6. Anatropia Theonest
7. Hawa Mwaifunga
8. Tunza Malapo
9. Nusrat Hanje
10. Agnesta Lambat
11. Sophia Mwakagenda
12. Cecilia Pareso
13. Jesca Kishoa
14. Ester Bulaya
15. Naghenjwa Kaboyoka
Kama atakuwa amefanya hivyo Halima Mdee atakuwa mpumbavu Sana yaani anaenda bungeni kuhalalisha haramu kuwa halali pumbafu sana .Mungu wangu! Halima Mdee umeuvunja moyo wangu kwa namna isiyoelezeka!
Basi nimekoma jamani, sitaki tena kushabikia wanasiasa!
Nimekoma!
Tuliwaambia mtanyooka tu. Mimi sihitaji uteuzi nilishateuliwa na Mungu tayari.Wee mataga ushaambiwa hakuna teuzi mpya jinga wewe
Kubalianeni na sisi kuwa siasa za Africa hazijawahi kuwepo kwaajili ya kupigania wananchi,it's all about 💰.😂😂Unataka kusemaje?
Hivyo viti hatuvitaki labda mpeane wewe, Johnthebabtist , Kawe Alumni ,Yehodaya na wenzio mvae sketi mzibe pengo la wabunge wa viti maalum CHADEMA.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu hauvitaki wewe au nani? Maana wenzio washakula kiapo kabisa
Sawa mkuu!Ungenitag maana huku ni ngumu kukuona, nilibanwa na majukumu mazito sehe ambayo simu haukupaswa on. Nawashauri nakutana na hiki kichekesho. Nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Kwa bahati mbaya wananchi wengi bado msimamo wetu uko pale pale, kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao wanawake tulisema hata wakienda msimamo wetu ni kuwa huu haukuwa uchaguzi.
Your problem is short sighted!Nonsense, halafu useme uchaguzi haukuwa huru na haki?
Ila n kumlimia ale vizur??[emoji849][emoji848]. Em fikiri Tena bhna. Wakat ukisusa shamba atakua atamaliza na hakuna atakapo kula tena na hatimae kufa na njaa?
Kwani lile jina la nyumbu unafikirii lina maana gani?Mungu wangu! Halima Mdee umeuvunja moyo wangu kwa namna isiyoelezeka!
Basi nimekoma jamani, sitaki tena kushabikia wanasiasa!
Nimekoma!
🤣🤣Ha ha haaa hapo kwa Jussa pamenifurahisha zaidi yaani jamaa kapondwa na polisi kaenda kutibiwa Nairobi halafu anakuja kupewa/kupozwa na uwaziri wa afya... siasa bwana yani basi tu!
Sema wewe siyo wananchi. Usiwasemee watz mkuu! Sema umebaki wewe na Kibaraka AmsterdamUngenitag maana huku ni ngumu kukuona, nilibanwa na majukumu mazito sehe ambayo simu haukupaswa on. Nawashauri nakutana na hiki kichekesho. Nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Kwa bahati mbaya wananchi wengi bado msimamo wetu uko pale pale, kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao wanawake tulisema hata wakienda msimamo wetu ni kuwa huu haukuwa uchaguzi.
Nyie watu ujinga utawaisha lini?
Mlisema hamtaunga mkono mbunge wa chadema ateyeenda bungeni, sasa hivi mmegeuza nyimbo
Hata hivyo, kama kulikuwa na wabunge 70+ wa chadema akiwemo mbowe, mnyika, sugu, msigwa, lema, heche na walishindwa hilo hao wa viti maalum watafanya nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna umoja kwenye njaa,hasa akitokea mwenye msosi......soon Maalim ataapishwa
Kurukaruka kote kule ndio mmeishia hapa?
Kweli chadema ni nyumbu
Trump mwenyewe keshamkiri masiha kuwa ni bwana sembuse chadema.Tuliwaambia mtanyooka tu. Mimi sihitaji uteuzi nilishateuliwa na Mungu tayari.
Jana tu katoka kujimwambafai yeye na zitto kwamba hawatapeleka wabunge,
Lissu ni loser