Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Nonsense, halafu useme uchaguzi haukuwa huru na haki?
Wewe ndiyo unasema haukuwa huru na haki. Chadema wanajua ulikuwa huru na haki na leo wamepeleka wabunge viti maalum kuapa. Pole sana na kibaraka Lissu Amsterdam!
 
Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.

Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA

Wabunge wa viti Maalum CHADEMA wanaoapishwa ni:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendeka
3. Ester Bulaya,
4. Kunti Yusuf
5. Salome Makamba
6. Anatropia Theonest
7. Hawa Mwaifunga
8. Tunza Malapo
9. Nusrat Hanje
10. Agnesta Lambat
11. Sophia Mwakagenda
12. Cecilia Pareso
13. Jesca Kishoa
14. Ester Bulaya
15. Naghenjwa Kaboyoka


Mungu wangu! Halima Mdee umeuvunja moyo wangu kwa namna isiyoelezeka!
Basi nimekoma jamani, sitaki tena kushabikia wanasiasa!
Nimekoma!
Kama atakuwa amefanya hivyo Halima Mdee atakuwa mpumbavu Sana yaani anaenda bungeni kuhalalisha haramu kuwa halali pumbafu sana .
 
CHADEMA kwisha habari yake., sasa maalim seif anasubiri nini naye aapishwe makamo wa kwanza, pia wale wabunge 4 wende zao bungeni na wawakilishi wakaape nao barazani tusubiri tena miaka 5 waendelee kuchinjiwa baharini
 
Hakuna umoja kwenye njaa,hasa akitokea mwenye msosi......soon Maalim ataapishwa
 
Ungenitag maana huku ni ngumu kukuona, nilibanwa na majukumu mazito sehe ambayo simu haukupaswa on. Nawashauri nakutana na hiki kichekesho. Nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Kwa bahati mbaya wananchi wengi bado msimamo wetu uko pale pale, kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao wanawake tulisema hata wakienda msimamo wetu ni kuwa huu haukuwa uchaguzi.
Sawa mkuu!

Vipi sasa juu ya msimamo wenu kama chama?
 
Nonsense, halafu useme uchaguzi haukuwa huru na haki?
Your problem is short sighted!
Pole sana. Watu huwa tuna foresee yajayo na siyo ya jana wala leo.
Kususia Bunge kwa kukataa Viti 19 ambavo viko Kikatiba ni uxuxu.
Swala la UCHAGUZI KUTOKUWA HURU NA HAKI KILA MTU ANAJUA NA DUNIA INAJUA. Hawa Wabunge ndo watakao kwenda kuwasha moto na kuibua madudu ya Uchaguzi hewa uliofanyika 28 OK 2020.
 
Mbowe ametoa Press release kuwa hawatapeleka majina kwa sababu hawakuridhika na mwenendo wa uchaguzi.
 
Chadema ikikosa watu kabisa bungeni unadhani chama kitaendeshwa vipi?
Hyo magufuli 2025 anaondoka mnatakiwa mjipange kwa miaka hyo ya mbele.sio kuwasusia
Ila n kumlimia ale vizur??[emoji849][emoji848]. Em fikiri Tena bhna. Wakat ukisusa shamba atakua atamaliza na hakuna atakapo kula tena na hatimae kufa na njaa?
 
Ha ha haaa hapo kwa Jussa pamenifurahisha zaidi yaani jamaa kapondwa na polisi kaenda kutibiwa Nairobi halafu anakuja kupewa/kupozwa na uwaziri wa afya... siasa bwana yani basi tu!
🤣🤣
Siasa TAMU Kaka.....
 
Ungenitag maana huku ni ngumu kukuona, nilibanwa na majukumu mazito sehe ambayo simu haukupaswa on. Nawashauri nakutana na hiki kichekesho. Nimecheka kwa nguvu ile mbaya. Kwa bahati mbaya wananchi wengi bado msimamo wetu uko pale pale, kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao wanawake tulisema hata wakienda msimamo wetu ni kuwa huu haukuwa uchaguzi.
Sema wewe siyo wananchi. Usiwasemee watz mkuu! Sema umebaki wewe na Kibaraka Amsterdam
 
Mbora sisi wajinga kuliko wewe mpumbavu unayetetea ccm.na wizi wao wa kura.mwenye akili timamu HAWEZI KUITETEA CCM.
Nyie watu ujinga utawaisha lini?
Mlisema hamtaunga mkono mbunge wa chadema ateyeenda bungeni, sasa hivi mmegeuza nyimbo
Hata hivyo, kama kulikuwa na wabunge 70+ wa chadema akiwemo mbowe, mnyika, sugu, msigwa, lema, heche na walishindwa hilo hao wa viti maalum watafanya nini?
 
Kurukaruka kote kule ndio mmeishia hapa?

Kweli chadema ni nyumbu

Mkuu,

Vyama vyote vya siasa vimejaa nyumbu.

Wakati mwingine huwa naona kama kuwalinganisha na nyumbu ni kumtusi huyo mnyama.
 
Nilijua hakuna mwanasiasa jasiri mbele ya njaa, Magufuli safi sana tumewajua hawakuwa wazalendo
 
Back
Top Bottom