Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Meseji kwa Amsrterdam na western Countries na USA Siasa za Tanzania ni pasua kichwa wakae nazo mbali

Tanzania ni peculiar country Africa kama ilivyo China

Ni nchi mbili tu duniani zilizo peculiar kwenye politics China na Tanzania tu

Leave Tanzania alone
 
Watu walishipaza shingo humu,wakati wa kampeni usingeweza kuikosoa CHADEMA bila kuitwa Mataga.Hiyo yote ni kwakua waliamini Viongozi wa Chadema wapo kwaajili ya kutetea maisha yao😂.Haya sasa Mataga ni akina nani Kati ya wafuasi wa CCM na wale wa CHADEMA?
Mataga ni wafuasi wa Chadema imezihirika leo bila chenga kabisa!
 
Komredi MNYIKA anadanganya HADHARANI.....

Asituongopee SISI...

Yeye anawachanganya NYUMBU tu....
Anajua kuwa AMERIDHIA akina MDEE kwenda bungeni....
MWENYEKITI wake Mh.Mbowe pia ANAFAHAMU go ahead ya akina MDEE kuapa jioni hii.....

Mnyika HATUDANGANYIKI...


Mnyika HATUDANGANYIKI...

Yaani Mnyika unataka kusema hata "rafiki yetu" mh.Nusrat Hanje hakukueleza kuwa ANAKWENDA KUAPA mbele ya mh.Ndugai?!!!

Mnyika WACHEZEE akili NYUMBU....
 
Hakuna siasa Tanzania.
Narudia Tena. Hakuna siasa Tanzania [emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57]
Dah....acha ujinga....chama kinahitaji RUZUKU ili watoto waende choo....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom