Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Na walio mgeuka, wamekikeketa chama bila ganzi yaani...🙌🙌Jamani mm namuinea huruma Lema tu
Kuwa mkimbizi halafu wenzake huku wamemgeuka
Aje tu aombe radhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na walio mgeuka, wamekikeketa chama bila ganzi yaani...🙌🙌Jamani mm namuinea huruma Lema tu
Kuwa mkimbizi halafu wenzake huku wamemgeuka
Aje tu aombe radhi
Hahahaaaa....... Mo na Dr Kigwangalla je?Halima mshindi😍🇹🇿👍
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28]ndo maana Yesu hakuna na wanafunzi wanawake
Mataga ni wafuasi wa Chadema imezihirika leo bila chenga kabisa!Watu walishipaza shingo humu,wakati wa kampeni usingeweza kuikosoa CHADEMA bila kuitwa Mataga.Hiyo yote ni kwakua waliamini Viongozi wa Chadema wapo kwaajili ya kutetea maisha yao😂.Haya sasa Mataga ni akina nani Kati ya wafuasi wa CCM na wale wa CHADEMA?
Siasa ni sayansi bwashee!Kigogo huwa hakurupuki ...ukweli umeishi...
Ila kwa kweli nmechoka sana...sina ham na wanasiasa
Dah....ndiyo shida ya "KUSHABIKIA" hiyo badala ya kuwa mfuasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]SITAKI TENA KUSHABIKIA UPINZANI,NIMENYOOSHA MIKONO JUU
HahhahaaNa walio mgeuka, wamekikeketa chama bila ganzi yaani...[emoji119][emoji119]
tindo!Daaah!! Njaa mbaya.[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]
Halima Mdee na kura zake feki za Kawe katimba bungeni!Hahhahaa
Dah.....Mbona nimeona Mnyika anasema hajapeleka majina
Jinga kabisa ww haujui humu kuna mambo mengi zaidi ya siasa.Akili yako ndogo hujui hili ni jukwaa la siasa sio mmu
😂😂😂😂😂😂😂Mataga ni wafuasi wa Chadema imezihirika leo bila chenga kabisa!
MO hana maadili kabisa yule. Anamtangazaje mteja wake wa mkopoHahahaaaa....... Mo na Dr Kigwangalla je?
Hakuna namna! Inabidi tuende na ccmKaribu sana tulijenge Taifa letu
HahahahhaahaaaUchaguzi ulikuwa huru na haki. Acheni ng'e ng'e sasa ni muda wa kazi tu. Mbowe na genge lake wamedhalilika vibaya Sana.
Dah....acha ujinga....chama kinahitaji RUZUKU ili watoto waende choo....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna siasa Tanzania.
Narudia Tena. Hakuna siasa Tanzania [emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57]