Hatimaye wazawa wamvaa Kafulila kuendesha mradi wa UDART

Scrutiny ifanyike:
-Kuna uwezekano mipanga imeshapangwa behind the scenes hichi kinachofanyika ikawa ni danganya toto.
-Kuna uwezekano hii ikawa ni kiini macho tu kwamba anayeweka pesa ni mtu wa nje ya nchi au mwanasiasa ambaye hataki maswali ya kwamba pesa amezipata wapi.
Kama kikao chao ni sincere:
-Kuwa wafanyabiara(transporters) wamiliki wa vyombo(malori) vya usafiri ina maana wanakopesheka hivyo mtaji(cash) si lazima wawe nao bali kinahitajika wawe na clean records kwenye mabenki wakopeshwe wamwage hata mabasi 1,000 if need be.
Usafiri ukisimamiwa na private entity utaendeshwa kwa umakini bora serikali ihakikishe ina-regulate nauli kwani itakuwa ni wao(wawekezaji) literally without competitors.
 
Hili linaweza kuwa jambo jema sana endapo tu watakuwa na mtaji wa Kutosha, kama.wanaweza kununua hata magari 300 nashauri wapewe

TAMSTOA hawana uwezo, genge nyuma ya Kafulila wana njama kubwa zaidi.

TOKA MAKTABA :
5 January 2023
WAMILIKI WA WADOGO WA MALORI TAMSTOA WAISHUKURU SERIKALI WA KUWAONGEZEA MUDA WA KUKATA LESENI ZA USAFIRISHAJI MIZIGO NJE YA NCHI

View: https://m.youtube.com/watch?v=7u-hYV1Ck5YChama cha Wamiliki Wadogo wa Malori nchini (TAMSTOA) kimeishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaongezea muda wa kukata leseni za usafishaji wa malori nje ya nchi.
 
Shida management wakipewa hawa wabongo gari hazitakuwa level seat wala hazina AC. Tuondokane na upuuzi wa kujazana kama nyanya kwenye matenga mradi ustaarabishwe.
 
Hili linaweza kuwa jambo jema sana endapo tu watakuwa na mtaji wa Kutosha, kama.wanaweza kununua hata magari 300 nashauri wapewe
Kwa umoja wao, waende jina moja la kampuni, ambayo itakuwa responsible, wa initialize capital yao, mara nyingi huwa ni bank loan, wapewe conditions, serekali yetu itapataje gawio lake, wapewe tu, hakuna tabu.
N. B, ingependeza kwa route za city center ubungo kibaha, ikawekwa miundombinu ya trams!
 
Wazo Bora la mwaka
 
kwanini hiyo mwendokasi asipewe financial tycoon kama Bakressa tumalize mzizi wa fitina,,,,hao TAMSOA hawawezi kutufikisha popote maana wabongo mambo ya kushare hatuwezi wakizinguana kidogo hawachelewi kugawana mbao.

Bakressa ameonyesha hata akipewa wizara ya uchumi atatufikisha somewhere huwezi endesha uchumi ukiwa unachojua ww ni uchumi wa kukariri darasani. Wapeni watu wanaojua kutengeneza faida watupe output inayoeleweka tusonge mbele.

Yaani miaka inafika miwili bado tunatafuta mtu wa kuendesha mwendokasi kweli???!!!!Sasa kama mwendokasi iliyo na faida ya nje nje
ambayo haihitaji kufanyia promo tunashindwa kuendesha😭😭😭😭😭GOD HAVE MERCY UPON US!!! PLEASE BABA WHY US BLACK PEOPLE WHY BABA!!!!!

Yawezekana waafrika tumelaaniwa kuwa hatutakuja kupiga hatua kwamwe🥱🥱🥱🥱
 
Acha kudharau Watanzania wenzako
 
Wewe ni mkoloni wa akili aisee
 
Hili linaweza kuwa jambo jema sana endapo tu watakuwa na mtaji wa Kutosha, kama.wanaweza kununua hata magari 300 nashauri wapewe
Hawa TAMSTOA nawafahamu vizuri sana, kifupi hakuna kitu hapo wavelength upigaji tu. Lah! Tanzania nchi yangu unachakazwa namna hii!!!
 
Mwarabu aliwapa terms na conditions zake waswahili wakalala mbele hadi leo hawajamjibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…