luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Aisee NI kweli kabisa tamaduni zetu ndio zitatuokoa ktk ili janga linalokuja kwa speed ya 5GIssue ya ushoga haina udini Ila ipo kwenye nguvu ya mtu mwenyewe na tamaduni za nchi husika mfano zamani mababu zetu tamaduni zetu zilikuwa wanaume kuoa na mwanamke ndo mke hakuna ujinga wa ushoga maana ilikuwa ni kinyaa na aibu kubwa hivyo tamaduni Zina nguvu kulinda jamii kuliko dini zikiwezeshwa na serikali katika mifumo ya kutunga Sheria, dini hazina serikali na serikali haizitambui dini kwenye kuendesha mambo yake na tamaduni za nchi zake ndo maana unaona mambo Kama hayo yanakuwa hivyo Ila ingekuwa huku nguvu ya tamaduni ingeiabisha serikali na watu wangechukia kuchaguliwa kiongozi wa hivyo.
Kanisani kwangu leo ndio Kuna Padre kani alert la huyu waziri shoga huko marekan....sikuwah kulifuatilia before
Nasikia huyu jamaa ktk speech yake eti alimahukuru Mume wake 😂😂😂