mwisho wa siku wanalenga watu wasizaliane
Huo "mwisho wa siku" ni upi? miaka mia ijayo?
Takwimu zinasema, ikifika mwaka 2074, Tanzania itakuwa ni ya tano duniani kwa wingi wa watu (nyuma ya Nigeria, china, india na marekani).
Huo "mwisho wa siku" unaouzungumzia weye ni upi? siku ya kiama?
Ukweli ni kwamba, kama una hamu sana ya kuzaa, basi ukazae. Hakuna atakayekuzuia, wala hakuna sheria yoyote inayoweka mipaka ya kuzaa.
Kuzaa sio jukumu la JUMUIA. Ni jukumu BINAFSI.
Wala usijifanye wewe ni muhamasishaji wa kuzaa. Hiyo sio kazi yako. Ni kiherehere tu.
Ikiwa wengine hawataki kuzaa kwa sababu wao ni mashoga, basi na wasizae. Sio lazima.
Kama unadhani dunia ina watu wachache sana, basi zaa kweli kweli. Fyatua mpaka korodani zikauke.
Una jukumu zito na unaonekana una KIU KALI na ARI ya kuujaza ulimwengu.
Kwa kweli hakuna mwenye ubavu wa kukuzuia kwenye hilo.