Sometimes kitu hiki kinaweza kufanyika kuhadaa mataifa mengine ili watu waingie kwenye upumbavu,anaweza akawa si shoga lakini inafanywa kuvutia wale wanao hisi ushoga ni sahihi na haki,mwisho wa siku wanalenga watu wasizaliane na watu waingie kwenye ujinga na ushenzi usio kubalika mbele za MUNGU na wanadamu,wanaamini wakiona hivyo vijana walioko shuleni huko wasioweza kupambanua mambo wataiga na kuingia kwenye huo mkumbo.
Na hata kama kuna watu wapo humu jf wanafanya mambo hayo nikuulizeni tu, mtu anasisimka vipi na mwanaume mwenzie?
Ni jambo gumu sana hili na ingewezekana kungewekwa sheria kali sana ktk nchi zetu za Africa ili watu waogope na sheria hizo zitekelezwe