Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

Ushetani ni nani aliyekufungua ukajua kuwa ni ushetani ama ni hizo dini jamaa walikuwa enzi za utumwa wakakupumbaza unashikilia kitabu huku wao wakichukua madini na ardhi nzuri.
Yaani bana MTU kama sokwe yeye akaletewa dini Leo hii anajifanya kumkosoa aliyemletea.
Mie hapo tyuuh nachoka kabisaa, huwa sielewi yaan.
 
Democrats huwa nawakubali kwa Mambo Sana Ila Hilo la ushoga huwa wananikata stimu Sana .

Wanazingua Sana .

Repbulican huwa nawakubali hawajihusishi na haya Mambo sema wabaguzi vibaya sanaaaa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hakuna chama perfect.

Republican wana mazuri na mabya yao kama ilivyo kwa Democratic
 
Moja ya mambo yanayoleta utofauti kati ya Donald Trump na huyu American presida wa sasa Joseph Biden ni msimamo katika baadhi ya mambo.

Twende kwa mada;

Masaa machache yaliyopita makamu wa Rais wa marekani mwanamama Kamala Harris, amemwapisha waziri wa usafirishaji na miundombinu nchini humo.

Amemsifia waziri huyo ambaye ni shoga na wakati wa kuapa kwake alikuwa na mwenza wake (eti mke) aliyemsaidia kubeba msahafu, pia VP amesema jamaa huyo ndiye atawaleta wamarekani pamoja katika kuimarisha idara hiyo.

[emoji1485]Hapa chini nimekuwekea picha tofauti usome alama za nyakati kwa safari iliyopo mbele kwa taifa hili kubwa kutoa alama hii maridhawa kwa mataifa yanaoendelea.

View attachment 1694413View attachment 1694414View attachment 1694415
[emoji1489]PHOTOS: Maelezo ya picha hizo tatu ni kuapishwa kwa viongozi tofauti wakiwa na familia zao, picha ya kwanza ni mmoja wa mawaziri asiye na mume wala jamaa/ndugu aliyeambatana naye.

[emoji1484]PHOTO: Huyu ndiye waziri wa usafirishaji na miundombinu Pete Buttigieg aliyeapishwa na VP Kamala, inasemekana ni shoga, pembeni ni mpenzi wake aliyeshika msaafu.

View attachment 1694416

Note: The day has come they wanna try it in their government.
Sio inasemekana ni shoga kabisa,na sre ya mademokrats ni kqamba sio kazi ya serikali kuratibu watu wanafanya nini vyumbani mwao,hivyo wao hawaukatai ushoga
 
Tunahangaika na mambo mengi yasiyotuhusu mno mpaka inakera! Awe shoga au asiwe shoga hainihusu!
Mkuu hawa jamaa wanapoleta hadharani haya mambo wana makusudi maalum ambayo wewe huyajui, but siku ukija kuelewa will be too late.

Mfano ni hii corona, miili yetu itakapozoea kuishi na hawa virus tutakuwa tumezoea na kuona kitu cha kawaida sana hata ukijua jamaa uliye naye ofcn, home nk ana corona hutashtuka.
 
Tuwaache na mambo yao..hayatuhusu.
Moja ya mambo yanayoleta utofauti kati ya Donald Trump na huyu American presida wa sasa Joseph Biden ni msimamo katika baadhi ya mambo.

Twende kwa mada;

Masaa machache yaliyopita makamu wa Rais wa marekani mwanamama Kamala Harris, amemwapisha waziri wa usafirishaji na miundombinu nchini humo.

Amemsifia waziri huyo ambaye ni shoga na wakati wa kuapa kwake alikuwa na mwenza wake (eti mke) aliyemsaidia kubeba msahafu, pia VP amesema jamaa huyo ndiye atawaleta wamarekani pamoja katika kuimarisha idara hiyo.

👉🏾Hapa chini nimekuwekea picha tofauti usome alama za nyakati kwa safari iliyopo mbele kwa taifa hili kubwa kutoa alama hii maridhawa kwa mataifa yanaoendelea.

View attachment 1694413View attachment 1694414View attachment 1694415
☝🏾PHOTOS: Maelezo ya picha hizo tatu ni kuapishwa kwa viongozi tofauti wakiwa na familia zao, picha ya kwanza ni mmoja wa mawaziri asiye na mume wala jamaa/ndugu aliyeambatana naye.

👇🏾PHOTO: Huyu ndiye waziri wa usafirishaji na miundombinu Pete Buttigieg aliyeapishwa na VP Kamala, inasemekana ni shoga, pembeni ni mpenzi wake aliyeshika msaafu.

View attachment 1694416

Note: The day has come they wanna try it in their government.
 
Na hilo jamaa lake huwa linatoa ushirikiano kinyama, sijui ni li Marioo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lol
 
Haha. Mwanafunzi anamkosoa mwalimu wake!

Mijitu nyumbu nyumbu hii, wao kila kitu wanabugia tu.

Hawajui hata chimbuko na dhima ya hizi dini za kikoloni. Wao ni kumeza tu!

Ooohh ati shoga hapaswi kuapa kwa Quran na biblia! Anaandika kwa mamlaka kama ka-mungu fulani kalichosimikwa na kutawazwa!

Huko Tanganyika Rais anaweza kuamrisha MAMIA ya wanaoandamana WAUWAWE kwa risasi, halafu kesho yake anashika biblia anaapa tena kwa bashasha kabisa!

Ni unafiki ulioje WAUWAJI wanaweza kuapa kwa biblia huku wanatabasamu na kupigiwa makofi, lakini huyu mzungu anayeishi maisha yake anaambiwa ati hapaswi kushika biblia!

Kama dini zinawajaza watu utaahira wa aina hii, basi kwa hakika zinapaswa kufutiliwa mbali na kuwa legislated as a criminal offense.

Hizi biblia na Quran ni chanzo cha GHASIA na UWENDAWAZIMU katika jamii! Zinawafanya watu kuwehuka na kupoteza fahamu.
Ahsante daddieh, hujawahi niangusha yaan, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwani ninani yule aliyesema kama angalikua mwanamke angali mzalia diamond watoto
 
Hakuna watu wanafiki na waongo km wanaume, hata shetani anajifunza kwao.

Ushoga, ni mahusiano ya kimapenzi baina jinsia 1 ya kiume. Ina maana wanaume wawili kuwa na mahusiano ya kingono.
Sasa why wanaume ndo wanaokuwa wapingaji na walaani vikali wa jambo hili, ili hali wahusika ni wao wenyewe.

Itakuja hoja ya straight ndo wapingaji na walaani vikali, huu n uwongo wa wazi kabisaa, mbona mashoga wengi hasa tawi la WASENGE (wafirwaji) linazidi kuongezeka kwa kasi kila iitwapo leo. Ina maana BASHA (wafiraji) wapo wengi zaidi hivyo huleta ushawishi kwa straight na kuwa Gay,

Ushoga hauwezi kwisha kwa kupinga na kutokomeza watendwa (WASENGE), huku watenda (MABASHA) wakiachwa salama kwa kisingizio eti wako ndani ya uhalisia wa jinsia husika, wakati wao ndo wanaozalisha wasenge wapya kila iitwapo siku, huu ni unafiki na ukuda.

Utakuta wanaume wanapingaa ushoga, ila wako mstari wa mbele tena na kibwebwe juu kuhusudu mapenzi kinyume na maumbile kwa wanawake, sasa hii ni nini? Kuna tofauti gani kati ya tupu ya nyuma ya mwanamke na ya mwanaume ktk kuhudumu Dick (mb....o)?

Na almost wanaopinga jambo hili hadharani, huko faraghani ndo tendo lao lenyewe na wanalifurahia. Eti kusema kwamba nisijulikane km nahusika msieeeeew.

Kila mtu aishi maisha yake binafsi ambayo yeye ameamua na kupanga kuyaishi, ili hali havunji kanuni, taratibu na sheria za nchi zilizowekwa.

Kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anachoona kwake ni sawa, ba hisia za kimapenzi ni dhamana ya muhusika hapaswu kuzuiliwa wala kupingwa.

Live ur own life buddahz, tunaishi mara 1 tyuuh.

...............
 
ebu kunywa maji kidogo upunguze jazba
Ila umesema ukwel
 
Akikujibu nitag wallah.
Hizi dini za waarabu na wazungu zimeharibu sana fikra za uafrika. Hakuna watu wenye roho mbaya, wabaguzi na wauji wakubwa kama washika dini za kuletewa. Kila dini inamfanya ajione yeye ni mwanadamu bora kuliko mwingine. Ndio maana wanaweza diriki kataa ishi na mtu mwingine kisa hana dini yake. Sasa huyo ni Mungu wa namna asiyetaka watu wote wamuaminiyo kwa njia tofauti wasiishi pamoja. Ni unyumbu fulani.

eti mashoga ndio wanasababisha mvua isinyeshe, na huyo ni mtu aliyeenda shule. Kweli mkoloni alifanikiwa, ajab hata kwenye dini hizi unaweza baguliwa kisa jina tu. Ukiitwa Donald, wavaa kanzu wanakuona sio muislam hadi uitwe Abdulratif. CULTURAL IMPERIALISM!
 
Sometimes kitu hiki kinaweza kufanyika kuhadaa mataifa mengine ili watu waingie kwenye upumbavu,anaweza akawa si shoga lakini inafanywa kuvutia wale wanao hisi ushoga ni sahihi na haki,mwisho wa siku wanalenga watu wasizaliane na watu waingie kwenye ujinga na ushenzi usio kubalika mbele za MUNGU na wanadamu,wanaamini wakiona hivyo vijana walioko shuleni huko wasioweza kupambanua mambo wataiga na kuingia kwenye huo mkumbo.

Na hata kama kuna watu wapo humu jf wanafanya mambo hayo nikuulizeni tu, mtu anasisimka vipi na mwanaume mwenzie?

Ni jambo gumu sana hili na ingewezekana kungewekwa sheria kali sana ktk nchi zetu za Africa ili watu waogope na sheria hizo zitekelezwe
 
ebu kunywa maji kidogo upunguze jazba
Ila umesema ukwel
Wala hata sina jazba, ila inakera kutwa kuzungumzia suala ambalo haliwezi kutatulika wala kwisha, na halina tija yeyote ktk maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom