Moja ya mambo yanayoleta utofauti kati ya Donald Trump na huyu American presida wa sasa Joseph Biden ni msimamo katika baadhi ya mambo.
Twende kwa mada;
Masaa machache yaliyopita makamu wa Rais wa marekani mwanamama Kamala Harris, amemwapisha waziri wa usafirishaji na miundombinu nchini humo.
Amemsifia waziri huyo ambaye ni shoga na wakati wa kuapa kwake alikuwa na mwenza wake (eti mke) aliyemsaidia kubeba msahafu, pia VP amesema jamaa huyo ndiye atawaleta wamarekani pamoja katika kuimarisha idara hiyo.
[emoji1485]Hapa chini nimekuwekea picha tofauti usome alama za nyakati kwa safari iliyopo mbele kwa taifa hili kubwa kutoa alama hii maridhawa kwa mataifa yanaoendelea.
View attachment 1694413View attachment 1694414View attachment 1694415
[emoji1489]PHOTOS: Maelezo ya picha hizo tatu ni kuapishwa kwa viongozi tofauti wakiwa na familia zao, picha ya kwanza ni mmoja wa mawaziri asiye na mume wala jamaa/ndugu aliyeambatana naye.
[emoji1484]PHOTO: Huyu ndiye waziri wa usafirishaji na miundombinu Pete Buttigieg aliyeapishwa na VP Kamala, inasemekana ni shoga, pembeni ni mpenzi wake aliyeshika msaafu.
View attachment 1694416
Note: The day has come they wanna try it in their government.