FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
1.) Vaccine au Anti-viral, ni ya Corona hiyo ndio hoja, ya Corona.Ufeki ni kuita hizo vaccines wakati ni Anti Virus kwahiyo hyo caption uliyopost imepotosha. Watu watadhani ni jamii ya chanjo ambazo zinasambazwa kwa sasa!! Hyo ni misinformation mkuu kubali umechemka.
2. Aliyesema inauzwa Africa pekee ni ww unayepost package ambayo lipo kwenye soko la Afrika ili kuaminisha watu kwamba hyo Anti Virus ni specific kwa Africa tu na kwamba wazungu wanapewa tofauti. Toka lini package na content zikawa kitu kimoja?? Nmekuwekea link ya hyo Gilead inc. Kasome humo ndani uone sababu za kwanini ipo labeled tofauti kwa nchi husika.
3. Kingine ufadhili uko meant kwa ajili ya nchi za ulimwengu wa tatu ambazo obviously nchi nyingi za Africa zinaingia hapo!! Na negotiation unakuta imehusisha regional blocs mfano AU, ASEAN kwahyo batch inakuja kulingana na nchi signatories.
Ndio maana nmekwambia licensing, patents, Subsidies, Anti-trust policies or wateva zinachangia ku bar bidhaa fulani kuuzwa kwenye eneo specific na sio jingine.
Nmekuuliza hapa kwanini electronics kutoka japn huwa zinaandikwa for Exports only? Ina maana wanataka zitudhuru wengine wao wapone? Mbona waafrika tunajidharau sana.
2.)Nimepost package aunthentic kama ilivyo, sijasema wala kutaka kuaminisha zaidi ya kile kilichooneshwa kwenye package.
3.) Hapa ndio penyewe, ni kigezo gani kimetumika kutoa ufadhili kwa nchi za AU zenye watu wenye ngozi nyeusi pekee? Mfano why South Africa ipo na Libya haipo? Au hao waarabu hawapo AU?