Fake news ni kama ifuatavyo
1. Sio kweli inauzwa Africa tu bali hiyo batch ndio ina licence kwa kuuzwa hizo nchi tajwa ili iwe kwa bei rahisi.
2. Hyo Anti-Virus na sio vaccine kama ulivyo dai. Maana chanjo ni kuzuia ila anti virus ni kuponya tatizo ambalo tayari limekupata so sio chanjo kabisa hiyo ambayo mtu asiye na Covid angepewa.
3. Hyo Anti virus pia inauzwa marekani na Canada na inatengenezwa na kampuni hyo hyo ya Gilead sema inauzwa kwa leseni tofauti kwa hyo hapo ni package tofauti ila sio kwamba soko ni tofauti kma unavyotaka kupotosha hapa kwamba chanjo ni kwa Africa tu.
Gilead is a bridge to a healthier world, committed to global health & access to medicines & care in low- and middle-income countries, including people impacted by HIV, hepatitis & fungal disease.
www.gilead.com
Ndio maana kuna spaghetti na electronics unakuta zimeandikwa FOR EXPORT ONLY or NOT FOR SALE IN JAPAN!! haimaanishi ni sumu au haiuzwi ndani ya nchi bali kuna restrictions kutokana na licensing, Patents,Monopoly, Anti-trust laws, M & A, Special economic zones regulations etc.