Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Hebu kuwa mwafrika bana hivi hauoni kama makitu yanaleta ubaguzi mkubwa sana ama ndo umeshakuwa msukule mkuu."Waume zako....ndio akina nani..."
Au asifiaye mvua mmemnyeshea au kwenu mpo vice vera ndio michezo yenu.
Angalia kila watu wana dini zao mkuu.
Sio lazima uitwe john,simon,grace,Mary, abdalah,JUMA ,Mohammed , zuber,Daniel,zuhura,nasra BASI eti ndo utakubalika mbele za aliye juu.
Haya yote shida ya mwenye ngozi ya nguruwe kuja afrika.
Sijawahi muona mzungu ama mwarabu anayeitwa mwakasege,ikemefuna,masanja,moshi,mutashobya ,Chacha,ndugui ama majina yetu yamekaa vibaya Bali ya kwao