Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
Hivi yule mtangazaji kumbe anafokolewa??[emoji15][emoji15]Mbona mnashangaa ya Marekani wakati Kila siku mna siku Liza wasafi radio unamsikiliza dida masham sham pale kuna punga mtangazaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi yule mtangazaji kumbe anafokolewa??[emoji15][emoji15]Mbona mnashangaa ya Marekani wakati Kila siku mna siku Liza wasafi radio unamsikiliza dida masham sham pale kuna punga mtangazaji
Wakatoliki ni kawaida yao hata kule Vatican wanatafunana sanaHuyu ni Mkatoliki acha kuleta kashfa katika dini wewe pant dropper
Unafanya makusudi kutafuta reactions za watu
Anyway pole sana
Na ndio maana kila siku tunapiga kampeni za kuzuia matumizi ya sumu za ARV zinazoua kwa liver, heart na Kidney failure, pia hizo chanjo za pepo punda tumekuwa na muda wa kutosha wa kujiridhisha nazo, ila hizi za Covid19 zilizoharakishwa, inaonekana zina agenda nyuma yake na ndio maana tukasema ni hadi pale tutakapojiridhisha na ubora na usalama wake, na hatujui ni lini tutajiridhisha.Ila hao hao mash.oga wakileta ARVs za bure na chanjo za pepopunda tunazikubali!!
Hvi tuna akili kweli?
Kwa kuwa nina funza kichwani naomba nitulie, ila maana yangu ilikuwa kama kuna kitu wana nia nacho kibaya wana uwezo bado wa kutudhuru.Donnie Charlie
Unaelewa maana ya ‘chanjo iliyoharakishwa’? Au unatoa ubongo na kujaza funza kichwani?
Chanjo za surua, polio na zingine nyingi zimekuwapo mida mrefu na tumeweza kujiridhisha nazo, ila hiza za Covid-19 zinaonekana kuwa na agenda nyuma yake, hivyo ni hadi tutakapojiridhisha, na hatujui tutajiridhisha lini
View attachment 1694643
Kwahiyo kisa wanauwezo wa kutudhuru, basi na sisi tuzubae tu kusubiri kudhurika bila kufanya kilicho ndani ya uwezo wetu kuepukana nalo , hata kwa zile hatari zilizo dhahiri?Kwa kuwa nina funza kichwani naomba nitulie, ila maana yangu ilikuwa kama kuna kitu wana nia nacho kibaya wana uwezo bado wa kutudhuru.
Lakini ajabu pesa zao mnachukuaHalafu kenge kama hao wakuletee chanjo ya kuharakishwa na wewe uikubali, hivi itakuwa tuna akili sawa sawa kweli?!
Yeah, sasa kama mtu anajileta mwenyewe na visenti vyake na sisi tuna uhaba wa vitanda vya kujifungulia, ni kwanini tusilambe pesa hiyo, tunafyeka tuLakini ajabu pesa zao mnachukua
Hao ndio wale wadau wenu wa maendeleo
Msiwe wepesi kusahau
Naomba nikusahihishe kwamba huyo aliyeshika msahafu ni mme wake na huyo waziri! Na ukumbuke kwamba waziri amechukua ubin wa mmewe maana hilo jina la mwisho ni la huyo mmewe (anaitwa somebody Buttigieg)
Huuu ushetani mwingine hata kama ni sio muislam lakini shoga hawezi kuapa ameshika kitabu cha mwenyenzi Mungu ni dharau kubwa sana
Si rahisi sana kutekeleza hilo , nchi zao zinaweza zisitawalike maana hayo si matakwa ya wananchi wanaowaongoza na inakuwa si matakwa na kipaumbelw za taifaKwa kuwa nina funza kichwani naomba nitulie, ila maana yangu ilikuwa kama kuna kitu wana nia nacho kibaya wana uwezo bado wa kutudhuru.
Moja kati ya vitu wakoloni walivyofanikiwa Africa ni kujaza ujinga waafrika kupitia hizi dini.Ameshika msaafu?
Tutake radhi wewe kafiri.
Alah akbaru
Na wewe naona ni mfia dini. Hivi Hao waaarabu na wazungu wasingekuja Africa ungeongea Hayo uliyoongea Leo hii.Koma kutajataja Msahafu kwenye mambo za kijinga mnazofanya na huyo mzwenzio miosa akili wewe
Yaani mkuu siku Africa ikiamka tutapiga hatu sana.Moja kati ya vitu wakoloni walivyofanikiwa Africa ni kujaza ujinga waafrika kupitia hizi dini.
Wewe ndiye unayababakia hizo dini za waume zako mkuu ila Hao Hao waliokuletea hawana time Nazo.Vizuri ungeondoa neno MSAAFU,kwani ustaarabu ni pamoja na kuheshimu imani za wengine.
Huyu ni Mkatoliki acha kuleta kashfa katika dini wewe pant dropper
Unafanya makusudi kutafuta reactions za watu
Anyway pole sana
"Waume zako....ndio akina nani..."Wewe ndiye unayababakia hizo dini za waume zako mkuu ila Hao Hao waliokuletea hawana time Nazo.
Komaa Nazo sasa na ilhali na wewe ni mwafrika kisa unavaa suti ama kanzu za kwao BASI na wewe unajiona umefanana nao.
Haya mwarabu/ mzungu komaa bana na tamaduni za watu tuone.
Utaniambia kama Hao wachina wapan wahindi hizo dini ni chafu mbele ya aliye juu.
Takhibiriiiiiiiiiiii
Wakatoliki ni kawaida yao hata kule Vatican wanatafunana sana