Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

Kumbe ni mume wa mtu? ma star wetu hawa bwana hawawezi kuishi bila mume wa mtu wakati vijana mjini tupo kibao tu
 
ni general manager wa fantuzi pia icd... ana kampuni ya malori pia, na ma kampuni mengine kibao kama utitiriiiii

ingekuwa serikalini wangesema amejilimbikizia madaraka...

maana bandari kavu tatu zote ana manage yeye. kampuni ya malori, kampuni ya media, bongo 5.

subcontractor wa Bollore group...

yaani dada yetu nancy swala la pesa ana uhakika wa kuishi vizuri hata wakiamua wasifanye tena kazi... wawe wanatumbua tu.

luca mtu poa sana mzungu mswahili anapiga stori na staff wa chini hadi wafagiaji anataniana nao...

sio kama mabosi wengine... mtu hela hana ila anajiganya amenuna mda wote..


Huyu jamaa ni Manager wa Bandari kavu mbili zipo kurasini kule karibu na daraja la kigamboni. Moja inaitwa JEFAG LOGISTICS na Nyingine inaitwa DICD. Mtu poa sana Luca
 
Mb dog kalia sana na huyu mtoto lakini hola!
 
Duh nilijuaga Nancy anatoka na kale kahindi ka bunifu ka mavazi
 
mb dogg anataka aokote dodo chini ya mnazi..

nilionaga nigeria huku wanakwambia warembo hawaolewi mpaka watongozwe na wa nigeria wenzao wacheza mpira ulaya au nba basketball usa...

zaidi ya hapo ni bora aolewe na mzee tu

tatizo hana hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…