R Mbuna
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,283
- 5,371
Huyu jamaa ni Manager wa Bandari kavu mbili zipo kurasini kule karibu na daraja la kigamboni. Moja inaitwa JEFAG LOGISTICS na Nyingine inaitwa DICD. Mtu poa sana Luca![]()
Huyo ndio Lucas.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ni Manager wa Bandari kavu mbili zipo kurasini kule karibu na daraja la kigamboni. Moja inaitwa JEFAG LOGISTICS na Nyingine inaitwa DICD. Mtu poa sana Luca![]()
Huyo ndio Lucas.
yaani ndio nimegundua now,kweli niko peke yanguHahaahahahahaha hakukosea mkuu maana ni kweli sasa UKO PEKE YAKO.
usinifanyie hivyo nancy jamanUm nancy...whn nlkudanganya?d u knw m!!!
Kumbe ni mume wa mtu? ma star wetu hawa bwana hawawezi kuishi bila mume wa mtu wakati vijana mjini tupo kibao tuDu! Luca ameamua kuoa kabisa?! nilidhani baada ya kuzaa na Nancy angerudi kwa mkewe wa ndoa? Kweli wanaume hawa ni shida, Luca kaacha mke mzuri vile na watoto mabinti wawili? Jamani kweli dunia hadaa Luca alimdanganya dada wa watu wakahama ulaya warudi bongo kumbe ndio ilikuwa nia yake aje achepuke na wabongo? Pole mwaya Jane lea wanao maisha yatasonga tu.
Huyu jamaa ni Manager wa Bandari kavu mbili zipo kurasini kule karibu na daraja la kigamboni. Moja inaitwa JEFAG LOGISTICS na Nyingine inaitwa DICD. Mtu poa sana Luca
tatizo hana helaMb dog kalia sana na huyu mtoto lakini hola!
Kiini cha ndoa kipo katikati ya maungoHahahh Mkuu umemaliza yote! Ni haki yake YA Msingi kuolewa
tatizo hana hela
DuuhKiini cha ndoa kipo katikati ya maungo
hahahaha si afwadhali yeyeAfadhali waonae, nao wamekaa kwenye uchumba sugu Muda now
Show za maangamiz bwana MLUGURUhahhahaha show za kibabe
hahaha mkuu umetishaAhakikishe anapewa risiti na kodi ikatwe kabisa kwenye mahari!
Hizi ndoa bana, kwa hio huyo Lucas anamuoa mke wake?Afadhali waonae, nao wamekaa kwenye uchumba sugu Muda now