Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama akili zenyewe ndio hizi kwann timu wasipewe wahindi??Bora hii ya Manji kuliko hayo ya Simba.
liBora hii ya Manji kuliko hayo ya Simba.
Sisi kama wanachama tumetapeliwa nini? Miaka yote huko nyuma sijawahi kufaidika hata na kitu chini ya hao viongozi! Furaha/faida ya mwanachama yeyote wa klabu ni matokeo no matter timu inaendeshwa na nani! Watakao umia ni wale waliokuwa wanaishi kutegemea klabu najua watafungua sana kesi mwaka huuNahic yanga wanatapeliwa mchana kweupeeeeeeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mawazo mengine ya kitaahira kweli kweli, Yanga ishuke daraja imekuwa Simba?Anaikosisha kwa sh ngp? I mean mtaji wake alioweka ni sh ngp?
Hyo asilimia 75, inathamani ya sh ngp? Isije kuwa manji anataka kuwauza yanga? Ikitokea tim ikashuka daraja je atafanyaje?
Yanga haja fikiria kwA umakini, kunahasara kuliko faida, hayo maamzi ya mwendo kasi yatakuja kuighalim yanga
Think
kama yote haya ni rahisi (kuuza maji, opena, skafu, jezi na mafanano wake kwa nini? ndani ya miaka 70+ ya yanga haijawahi fanya ivi na kubaki kutegemea ufadhiri. wacha aichukue tuAm Young Dar African Sports Club,
Ila hapa naona tumeliwa mchana kweupeee, Unajua nini....?
Tunamkabidhi timu mtu for nothing..!!!, Hatujui anataka kuwekeza nini? Hatujui anataka kufanya biashara gani? Hakuna mkataba unaomfunga kwamba anatakiwa kujenga Uwanja wa Timu labda ndani ya kipindi hicho...!!!! Mkataba kwamba anatakiwa kununua angalau wachezaji wa kiwango fulani ndani ya kipindi husika hakuna...!!! Kwamba anatakiwa kuwekeza kiasi fulami kila mwaka ndani ya kipindi hicho hakuna....!!!!!!
Yaani mtu akienda huko kishumundu kutununulia kina Kibwanguso kama wachezaji wa Yanga, ni sawa tu....!!!! Hakuna cha kumbana..!!! Hapana.
Hapa tumeliwa kweupe hata jogoo hajawika!
Hii ni nafuu sana kwa watani zetu hapo ambao Mo amewaambia atawapa Bl 20. Na hata igusa hiyo wala faida yake ambayo itapatikana baada ya kukopeshwa hela hizo. Hii maana yake nini? Siku huyu mtu akiamua kuondoka Simba itakuwa imepata Bl20 na faida iliyopatikana baada ya kukopeshwa fedha hizo.
Huyu bwana ni mtu mjanja sana, Aliwekeza bure kabisa kwenye Club kwa kipindi cha karibu miaka sita sasa akilenga kupata hiki anachoomba leo, Ambacho binafsi ninaamini ni kikubwa kulinganisha na kile tutachopata kwa miaka hiyo kumi. Nembo tu ya Club inazaidi ya thamani ya trilioni moja...!!!!
Unajua nini......
Akimua kuuza maji tu yenye nembo ya club ya yanga angalau kwenye mechi moja tu ya club ya Yanga huku akifungia maji mengine kuuzwa kwenye mechi husika unajua fedha itakayopatikana? Achia mbali hilo akiamua kuuza tu Opener za soda zenye nembo ya club ya Yanga kwa miaka hiyo kumi unajua itapatikana bei gani?
Hapa sijazungumzia Jezi, Skafu, Soksi, Kofia, Miruza, Laba, Six........ Oooopssss
Ngoja niishie hapa mimi........!!!!!
BACK TANGANYIKA
Shangazi yako aliwahi kukwambia kuwa Yanga inaendeshwa kwa mifano? Yaani tangu Jerry Muro aende likizo mna maswali ya kijingajinga kweli kweli.Wakuu,hebu nisaidieni mfano wa timu moja ya mpira iliyowahi kukodishwa ili tuseme yanga wameitumia kama kiolezo katika kufanya maamuzi yao..
Punguza jazba mkuu,tulia..na kama hauna nilichouliza unaweza kupita tu waje wajibu wengine..Shangazi yako aliwahi kukwambia kuwa Yanga inaendeshwa kwa mifano? Yaani tangu Jerry Muro aende likizo mna maswali ya kijingajinga kweli kweli.
Habari za hisa/kampuni zilianzishwa na akina Tarimba miaka kumi iliyopita .Shukrani nyingi zimwendee Mr...Mo.....
amewatoa usingizi vyura....
SIMBA NGUVU....MOJA
Kwani ulimuuliza Yanga? Mimi sina jazba, niko murua kwa raha za YangaPunguza jazba mkuu,tulia..na kama hauna nilichouliza unaweza kupita tu waje wajibu wengine..
Au wewe ndio yanga??
Nimeona umejibu kwa jazba hata kumuhusisha na shangazi yangu utadhani wewe ndio yanga..Kwani ulimuuliza Yanga? Mimi sina jazba, niko murua kwa raha za Yanga
Yaelekea shangazi yako mrembo eeeh, yaani akitajwa kidogo tu unachukia?Nimeona umejibu kwa jazba hata kumuhusisha na shangazi yangu utadhani wewe ndio yanga..