Hatimisho: Nimefika salama Marekani

Kuna kitu kinaitwa world view kama ulisoma level ya chuo kikuu utakuwa unakijua kama wewe ni gumbalu basi endelea na maswali yako ya kishamba.
Mbona povu kama la foma?

Ina maana hujui kuwa mwenye level ya chuo kikuu na yule wa ngumbalu level wote ni mavumbi?

Ubatili mtupu, jitafakari kijana
 
Hongera
 
Mkuu nakumbuka mapambano yako humu asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na subscribe huu uzi kwa faida ya baadae... Tutakutana huko One Day, nategemea hata baada ya masomo yako utaendelea kubaki huko huko
 
Asante sana mama samia hz juhudi zako kwa kufungua nchi. Piga kazi kijana marekani uctoke bure
 
Nenda na wewe mbinguni uanzishe Uzi wako.

Pili, sio Kila mtu anataka kwenda huko mbinguni au anaamini hizo story. Wengine mbingu zao ni hapa hapa hawasubiri mbingu za kusadikika.
Mavumbi ndio mbingu ya duniani, utasema na hiyo ni ya kusadikika utadhani ulijiumba
 
Hivi kwa Marekani ukitaka kubaki baada ya shule kuna process gani za Immigrarion
Fanya vizuri kwanza ukigraduate makampuni mengi yanajitokeza kutafuta wafanyakazi nautaajiriwa kwa kile ulichosomea na kwa grades nzuri ulizopata .
Kama hujajitahidi unapewa kazi za kawaida na baadae ukijitahidi ndio unapata wao ndio wakikuhitaji watafanya mpango wa wewe kupata kibali cha mfanyakazi.
 
Hiyo nchi me ilinishinda nitakuja kuleta uzi siku moja jinsi nilivyoshindwa kuishi amerika nikakimbilia Canada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…