Hatimisho: Nimefika salama Marekani

Kuna kitu kinaitwa world view kama ulisoma level ya chuo kikuu utakuwa unakijua kama wewe ni gumbalu basi endelea na maswali yako ya kishamba.
Mkuu hawa achana nao, me sijihangaishi nao kabisa.
 
Ahsante sana mkuu, tuendelee kusaidiana hivyo, maana wengine wanafikiri lengo la huu Uzi sijui ni kutamba, me nahamasisha tu watu wasikate tamaa kila kitu kinawezekana.
 
Na subscribe huu uzi kwa faida ya baadae... Tutakutana huko One Day, nategemea hata baada ya masomo yako utaendelea kubaki huko huko
Ahsante mkuu, fanya hivyo,iwe amani na mafanikio kwako.
 
Sawa Mkuu
 
One day, soon enough...!!!!
Siku moja nitakuja kufufua hii comment [emoji4][emoji3577]
Kikubwa afya na uhai wake Kristo.
Inshallah...Aamina
Karibu Mkuu, karibu sana huku, ufanikiwe nakuombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…