Hatimisho: Nimefika salama Marekani

Hatimisho: Nimefika salama Marekani

Kuna kitu kinaitwa world view kama ulisoma level ya chuo kikuu utakuwa unakijua kama wewe ni gumbalu basi endelea na maswali yako ya kishamba.
Mkuu hawa achana nao, me sijihangaishi nao kabisa.
 
Ni vizuri kushukuru neema za Mwenyezi Mungu na kuhadithia ni Moja Kati ya njia za kushukuru ilimradi wengi nao wasikate tamaa kama mimi nimepata nilijiwekea maisha yangu niishie kulima korosho chitoholi lakini sasa nimehamasika kuingia USA kupitia uzi wake.
Ahsante sana mkuu, tuendelee kusaidiana hivyo, maana wengine wanafikiri lengo la huu Uzi sijui ni kutamba, me nahamasisha tu watu wasikate tamaa kila kitu kinawezekana.
 
Na subscribe huu uzi kwa faida ya baadae... Tutakutana huko One Day, nategemea hata baada ya masomo yako utaendelea kubaki huko huko
Ahsante mkuu, fanya hivyo,iwe amani na mafanikio kwako.
 
Fanya vizuri kwanza ukigraduate makampuni mengi yanajitokeza kutafuta wafanyakazi nautaajiriwa kwa kile ulichosomea na kwa grades nzuri ulizopata .
Kama hujajitahidi unapewa kazi za kawaida na baadae ukijitahidi ndio unapata wao ndio wakikuhitaji watafanya mpango wa wewe kupata kibali cha mfanyakazi.
Sawa Mkuu
 
One day, soon enough...!!!!
Siku moja nitakuja kufufua hii comment [emoji4][emoji3577]
Kikubwa afya na uhai wake Kristo.
Inshallah...Aamina
Karibu Mkuu, karibu sana huku, ufanikiwe nakuombea.
 
Back
Top Bottom